MNYISANZU
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 7,048
- 1,102
Mimi ni mvula nina 23yrs. Nina Girlfriend wangu umri 18 yrs. Na tunapendana sana kiasi cha kuwa na matarajio ya kuona endapo mungu atatujaalia. Tatzo lilipo ni wakati tunapokutana na kula tunda letu maumbile yake ni madogo na yamejificha mno kiasi kwamba uume wangu hauwez kabisa kupenyeza japo si mkubwa sana wa kutisha. huwa najitahd kumuandaa vizuri kabla ya kuanza tendo. Nikijaribu kuinsert tu holaa siingii ndani nimejaribu kuwa mvumilivu kwa kujaribu kila utundu mwingine wa kusoma humu jf lakin aa wapi. Kiasi ambacho sifurahiii kabisa kimapenzi na istoshe nina future naye nashndwa nifanyaje nauumiza sana kichwa kwa hili nikaona ni vyema nifunguke mbele yenu ili kuweza kunipa usahuri na ujuz mwingine kwa hili asanteni na karibuni