chapangombe
JF-Expert Member
- Sep 28, 2014
- 362
- 289
Mkuu upo sawa lkn mbona basi advocate ana duty to the court lkn kwanini aitwe officer wa mahakama? Hivi nikisema ni officer wa TANESCO ninakuwa nina maanisha nini? Logic ni kuwa hajaajiriwa na mahakama lkn bado ni muhusika katika mahakama ndio maana mahakama inamwangalia sana wakili kwenye proceeding ili aisaidie courtAn advocate/wakili ni ofisa wa mahakama na si mtumishi wa Mahakama. Hakimu au jaji ndiyo watumishi wa mahakama ila si mawakili.