Naombeni CV ya Kapteni Komba, wa TOT

Naombeni CV ya Kapteni Komba, wa TOT

CCM wameuwa SUKITA mali yao wenyewe ndio sembuse mnawakabidhi mali ya umma? Tumeliwa.

Wasifu wa Komba umeuweka kiustadi kabisa tena umesahau tu siyo tu kauwa TOT bali hata ile shule aliyojengewa bure na Bakili Muluzi nayo imemshinda. Huyu hakuna anachoweza zaidi ya kupayuka.

nimepata dawa yake , AKING'OLEWA UBUNGE TU TUNAZIKA .
 
TAMAA NI HATARI sana ! HIVI KOMBA PAMOJA NA KUMILIKI SHULE INAYODHULUMU WALIMU HAKUTOSHEKA HADI KUAMUA KUUZA MAGITAA YA TOT KWELI ?

Nani kakudanganya Komba anamiliki shule? Nenda kawaulize CRDB alivyowaliza pesa bond kaweka hiyo shule.

Itakuwa ni mali ya Manji ndio kalipa deni la baba Lulu Crdb.
 
Na waliomchagua awaongoze ni vilaza.Mtu kama uyu unawezaje ukamchagua akakuwakilishe bungeni?
 
Nani kakudanganya Komba anamiliki shule? Nenda kawaulize CRDB alivyowaliza pesa bond kaweka hiyo shule.

Itakuwa ni mali ya Manji ndio kalipa deni la baba Lulu Crdb.
Wee ! Sema Thuuuu .
 
HUYU JOHN KOMBA alikuwa mwl wa primary,huko songea kabila mmatengo,alipata cheti kreruu collage. sasa wakati wa vita ya uganda alichukuliwa kwa kipaji cha kuimba kwaya,alikuwa anaimbia wanajeshi wa ukweli walipokuwa wanatoka vitani.baadae kwa sifa hizo akachukuliwa na jeshi kama mburudishaji,akawa ofisa wa jeshi kama kada wa siasa jeshini huku akiendelea kupayuka.sasa baada ya vyama vingi kuanza 1992 hawa wajanjawajanja wakaambiwa kama wanataka kuwa wajeshi waache ukamisaaa au watoke jeshini wakaendeleze ukada wao nje huko.ndipo chama kikaanzishaTOT akapewa bonge na bendi ya vijana nataarabu,ambavyo vyote ameua kwa kutowalipa hela wanamusic,wakakimbia wote

Kumbe hata angeingia msituni angeenda kuimba kwaya? Ss anajikuta komando kumbe boya tu
 
In short CV yake ni kwamba alizaliwa, akasomasoma, akaanza kuimba, akaheshimiwa, akapewa uheshimiwa, akakopa, akashindwa kulipa, akalipa kwa taabu na mwisho akalewa madaraka akakosa heshima na akaanza kuwakosea heshima wakubwa wake kina Jaji Warioba.
 
Na waliomchagua awaongoze ni vilaza.Mtu kama uyu unawezaje ukamchagua akakuwakilishe bungeni?

Aliwaburudisha kwa kuwaimbia wapinzani wanatakiwa kuchanwa chanwa na kutupwa. Akakonga nyoyo zao wakamchagua.
 
Nimepata fununu kuwa naye anapanga kujitosa kwenye urais mwaka 2014 Hata Nape naye nasikia ana mpango huo. Urais mwakani ni wa kumwaga!
 
Mkuu, hivi lile tumbo lilivyo kubwa, ataweza kuingia msituni? Wakati Mzee warioba ni waziri mkuu, komba alikuwa anakata
Viuno.

Sasa mbna anamtukana mtu ambae ashaziona hadi shanga zake wakati anakatika viuno kumtumbuiza nyerere
 
CCM wameuwa SUKITA mali yao wenyewe ndio sembuse mnawakabidhi mali ya umma? Tumeliwa.

Wasifu wa Komba umeuweka kiustadi kabisa tena umesahau tu siyo tu kauwa TOT bali hata ile shule aliyojengewa bure na Bakili Muluzi nayo imemshinda. Huyu hakuna anachoweza zaidi ya kupayuka.

Mkuu si kupayuka tu,bali kakosa maadili kwa kupiga picha za utupu na malaya,akiwa mkurugenzi wa shule na mbunge!!
 
Katika Kuelekea Uchaguzi Mkuu Mwakani leo naombeni kama kuna mdau anajua CV ya Kampeni Komba yule wa TOT ili tuone jinsi alivyo watu watambue kiwango alichonacho Kielimu na kama kweli anaweza kuwa mwakarishi mzuri ndani ya Bunge, Nasikia kuwa ameweza kupata Degree ya open university ya Commwealth ya Political Science..Wadau tunaomba ukweli huu
Komba ameishia 7b
 
Haya kaka hangaika nayo iyoo..

EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level

Lituhi Primary School Primary Certificate 1963 - 1969

Songea Boys Secondary School O-Level Education 1971 1974

Kleruu TTC Certificate 1975 - 1976

Cadet Training Unit - Monduli (Diploma) 1978 - 1979

Magdeburg - Germany (Diploma) 1988 - 1990

Chuo cha Sanaa - Bagamoyo (Diploma) 1986 - 1988

Mwaka 1976 alikuwa JKT Ruvu
 
Naona jamaa kasoma chuo kimoja na Anthony Diallo kwenye chuo cha kwenye Briefcase (Washington International University), na bachelor yenyewe kaisoma kwa miaka miwili. Cha ajabu naye unakuta anamponda Jaji Warioba wakati jamaa ni mwalimu wa Voda Fasta....very interesting.

8aydTAAAADo3f8HKLz3JGJq6TIAAAAASUVORK5CYII=
 

Attachments

  • Voda Fasta.JPG
    Voda Fasta.JPG
    107 KB · Views: 270
Back
Top Bottom