Naombeni CV ya Kapteni Komba, wa TOT

Naombeni CV ya Kapteni Komba, wa TOT

Siku chache zijazo utasikia ametunukiwa Phd ya mauno!
Duu...

http://www.washint.edu/en/

-no classroom
- no deadline
- low fixed tuition.

Since 1994

Komba acha uzushi, bora ungebaki na diploma yako ya ualimu..
 
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Lituhi Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Certificate[/TD]
[TD="align: center"]1963[/TD]
[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Songea Boys' Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1971[/TD]
[TD="align: center"]1974[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kleruu Teachers' Training College[/TD]
[TD="align: center"]Certificate (Teaching)[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cadet Training Unit - Monduli[/TD]
[TD="align: center"]Diploma[/TD]
[TD="align: center"]1978[/TD]
[TD="align: center"]1979[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Magdeburg Path - Germany[/TD]
[TD="align: center"]Diploma (Political)[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Washington International University[/TD]
[TD="align: center"]BA(Political)[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

HIvi hawa jamaa wa CCM wana matatizo gani.............?? Hivi mtu amesoma halafu hata hajui kuandika vizuri alichokisomea?? Hivi kuna certificate ya teaching?? Au diploma or degree ya political?? angeandika certificate ya education au diploma/degree ya polical science ningemuelewa. Au hizo za political zinatolewa Germany na US tu?? Jamaa alienda kule kujifuza uburudishaji halafu anatuambia eti isomea degree ya Political ...... Halafu Monduli Diploma?? hiyo diploma yake hailezi alisomea nini?? Bora aendelee na kipaji chake alichopewa na Mungu cha kuburudisha jamii....!!!!!!!
 
Ualimu ana certi, diploma ya uhakika hapo ni hiyo ya Cadet. af hicho chuo ALICHOSOMA Degree ya "Political" (sjui ni political science!) mbona ni cha biashara?sijaona bachelor yeyote inayohusiana na Politics. hata mission statement yao inaonyesha (Mission Statement : About WIU : Washington International University).

Hivi hizo CV jaman zinawasilishwa bungeni au wapi?maana kwa hadhi ya Bunge sikutarajia tukaona CV za ajabu ajabu namna hiyo.
Alaf mbona hiyo Magdeburg Path wananiambia ni uchochoro/barabara maarufu inaotumiwa na watalii wakipita kwa miguu au waendesha baiskeli na wale wanaendesha viatu vya matairi ambayo wanaita
Magdeburg Off The Beaten Path, na inapita kwenye vivutio kadhaa vya utalii?
Mji wa
Magdeburg uliopo German una vyuo vikuu viwili, chuo chenye jina Otto-von-Guericke University Magdeburg ambacho kimeanzishwa 1994, na Magdeburg-Stendal University of Applied Sciences kipi kati ya hivi Komba alimaanisha?
 
HAYA, CV YA NDUGU DAMIANI KOMBA MMEOMBA NA KUPATIWA, HAYA TUAMBIENI IMEWASAIDIENI NINI KATIKA KUINGIZA NA KUMALIZA SIKU..........!!!!!!!!!!!?????

JE, HIVI NDO INAVOPASWA KULETA MAENDELEO KWA KUZUNGUMZIA WATU BADALA YA KUZUNGUMZIA ISSUES....!!!???

KWA NINI UCHUKUE MUDA WAKO KUMZUNGUMZIA MTU WAKATI KUNA KAZI NA SHUGHULI KIBAO ZA KUFANYA ILI KULILETEA MAENDELEO TAIFA LETU HILI """CHANGA......!!!"""" LA TANZANIA....??????????????????

tafakari........................!
 
Ndg. Huyu ni mwakilishi wa watu na mchango wake katika maendeleo ya taifa letu, unazidi shughuli za watu wengi katika kuleta maendeleo. Ndiyo maana watu wanaona uchungu kwa mtu (watu) kama huyu (hawa) kuweka juhudi zake (zao) katika chuki za kisiasa badala ya maendeleo.
 
Mbona hata akina arnold walikuwa wasanii?tatizo liko wapi.Fuatilia hata cv za akina bii gate.Issue ni nini hasa elimu au utendaji kazi?Kuna maprofesa lakini ni mizigo.mimi cha msingi kwangu ni utendaji kazi tu.haya mengine ndugu yangu ni majungu hivyo wewe ndo mpiga majungu na unaonekana una chuki binafsi na john komba
kwahiyo kwa akili yako komba anafanya kazi ya maana bungeni????wew kweli unatumia SABURI kufikiri
 
Ualimu ana certi, diploma ya uhakika hapo ni hiyo ya Cadet. af hicho chuo ALICHOSOMA Degree ya "Political" (sjui ni political science!) mbona ni cha biashara?sijaona bachelor yeyote inayohusiana na Politics. hata mission statement yao inaonyesha (Mission Statement : About WIU : Washington International University).

Hivi hizo CV jaman zinawasilishwa bungeni au wapi?maana kwa hadhi ya Bunge sikutarajia tukaona CV za ajabu ajabu namna hiyo.
Alaf mbona hiyo Magdeburg Path wananiambia ni uchochoro/barabara maarufu inaotumiwa na watalii wakipita kwa miguu au waendesha baiskeli na wale wanaendesha viatu vya matairi ambayo wanaita
Magdeburg Off The Beaten Path, na inapita kwenye vivutio kadhaa vya utalii?
Mji wa
Magdeburg uliopo German una vyuo vikuu viwili, chuo chenye jina Otto-von-Guericke University Magdeburg ambacho kimeanzishwa 1994, na Magdeburg-Stendal University of Applied Sciences kipi kati ya hivi Komba alimaanisha?

Tafadhali tuletee na ya Mr Makengeza wa pale Hai
 
Kuna kila sababu, Bunge kufanya ufuatiliaji wa elimu za hawa waheshimiwa, maana mmhhhh
 
HAYA, CV YA NDUGU DAMIANI KOMBA MMEOMBA NA KUPATIWA, HAYA TUAMBIENI IMEWASAIDIENI NINI KATIKA KUINGIZA NA KUMALIZA SIKU..........!!!!!!!!!!!?????

JE, HIVI NDO INAVOPASWA KULETA MAENDELEO KWA KUZUNGUMZIA WATU BADALA YA KUZUNGUMZIA ISSUES....!!!???

KWA NINI UCHUKUE MUDA WAKO KUMZUNGUMZIA MTU WAKATI KUNA KAZI NA SHUGHULI KIBAO ZA KUFANYA ILI KULILETEA MAENDELEO TAIFA LETU HILI """CHANGA......!!!"""" LA TANZANIA....??????????????????

tafakari........................!

Karibu hapa JF
 
Sikuwa nalijua jina la Mhe. Komba. Nimemsikia anamsakama saana Jaji Warioba. Na kuna kipindi nilisikia kuwa anataka kwenda msituni ikiwa serikali 3 zitakubaliwa.
NAOMBA kujua huyu ni mbunge wa jimbo gani?
elimu yake ni ?
Kabla ya ubunge alikuwa na kazi gani?

P'se naomba CV yake.
 
HUYU JOHN KOMBA alikuwa mwl wa primary,huko songea kabila mmatengo,alipata cheti kreruu collage. sasa wakati wa vita ya uganda alichukuliwa kwa kipaji cha kuimba kwaya,alikuwa anaimbia wanajeshi wa ukweli walipokuwa wanatoka vitani.baadae kwa sifa hizo akachukuliwa na jeshi kama mburudishaji,akawa ofisa wa jeshi kama kada wa siasa jeshini huku akiendelea kupayuka.sasa baada ya vyama vingi kuanza 1992 hawa wajanjawajanja wakaambiwa kama wanataka kuwa wajeshi waache ukamisaaa au watoke jeshini wakaendeleze ukada wao nje huko.ndipo chama kikaanzishaTOT akapewa bonge na bendi ya vijana nataarabu,ambavyo vyote ameua kwa kutowalipa hela wanamusic,wakakimbia wote
 
Mhhh kwenye CV yangu hakuna nafasi ya Primary wala secondary school....vicertificate na na course fupi fupi siweki maana naweza kuwa na CV ya page 20!

..........cha ajabu bado unanunua picha ya mwanae mungu dukani !
 
HUYU JOHN KOMBA alikuwa mwl wa primary,huko songea kabila mmatengo,alipata cheti kreruu collage. sasa wakati wa vita ya uganda alichukuliwa kwa kipaji cha kuimba kwaya,alikuwa anaimbia wanajeshi wa ukweli walipokuwa wanatoka vitani.baadae kwa sifa hizo akachukuliwa na jeshi kama mburudishaji,akawa ofisa wa jeshi kama kada wa siasa jeshini huku akiendelea kupayuka.sasa baada ya vyama vingi kuanza 1992 hawa wajanjawajanja wakaambiwa kama wanataka kuwa wajeshi waache ukamisaaa au watoke jeshini wakaendeleze ukada wao nje huko.ndipo chama kikaanzishaTOT akapewa bonge na bendi ya vijana nataarabu,ambavyo vyote ameua kwa kutowalipa hela wanamusic,wakakimbia wote

TAMAA NI HATARI sana ! HIVI KOMBA PAMOJA NA KUMILIKI SHULE INAYODHULUMU WALIMU HAKUTOSHEKA HADI KUAMUA KUUZA MAGITAA YA TOT KWELI ?
 
HUYU JOHN KOMBA alikuwa mwl wa primary,huko songea kabila mmatengo,alipata cheti kreruu collage. sasa wakati wa vita ya uganda alichukuliwa kwa kipaji cha kuimba kwaya,alikuwa anaimbia wanajeshi wa ukweli walipokuwa wanatoka vitani.baadae kwa sifa hizo akachukuliwa na jeshi kama mburudishaji,akawa ofisa wa jeshi kama kada wa siasa jeshini huku akiendelea kupayuka.sasa baada ya vyama vingi kuanza 1992 hawa wajanjawajanja wakaambiwa kama wanataka kuwa wajeshi waache ukamisaaa au watoke jeshini wakaendeleze ukada wao nje huko.ndipo chama kikaanzishaTOT akapewa bonge na bendi ya vijana nataarabu,ambavyo vyote ameua kwa kutowalipa hela wanamusic,wakakimbia wote

CCM wameuwa SUKITA mali yao wenyewe ndio sembuse mnawakabidhi mali ya umma? Tumeliwa.

Wasifu wa Komba umeuweka kiustadi kabisa tena umesahau tu siyo tu kauwa TOT bali hata ile shule aliyojengewa bure na Bakili Muluzi nayo imemshinda. Huyu hakuna anachoweza zaidi ya kupayuka.
 
Back
Top Bottom