itakuwa ni kozi za kijeshi nadhani za mambo ya kutumbuiza ambazo lugha yake kuu ni vitendo tuUpo sahihi hujakosea mkuu.
Lakini huko Ugerman haileweki kozi gani alichukua.
Haya kaka hangaika nayo iyoo..
EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Lituhi Primary School Primary Certificate 1963 - 1969
Songea Boys Secondary School O-Level Education 1971 1974
Kleruu TTC Certificate 1975 - 1976
Cadet Training Unit - Monduli (Diploma) 1978 - 1979
Magdeburg - Germany (Diploma) 1988 - 1990
Chuo cha Sanaa - Bagamoyo (Diploma) 1986 - 1988
Haya kaka hangaika nayo iyoo..
EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Lituhi Primary School Primary Certificate 1963 - 1969
Songea Boys Secondary School O-Level Education 1971 1974
Kleruu TTC Certificate 1975 - 1976
Cadet Training Unit - Monduli (Diploma) 1978 - 1979
Magdeburg - Germany (Diploma) 1988 - 1990
Chuo cha Sanaa - Bagamoyo (Diploma) 1986 - 1988
........HUKO UJERUMAN ALIKWENDA KUSOMA KOZI GANI?
Huko Monduli (CADET TRAINING UNITY) ilianzishwa lina na ilikuwa wanafundisha nini?
Sijui ujerumani ila hamna cadet training unit bali ni Tanzania Military Academy ni chuo cha maofisa wa jwtz Monduli na kilianzishwa 1972 na jeshi la china kuondoa gharama ya kutrain maofisa nje ya nchi.
Nilifanya kozi ya jwtz Monduli sikupata diploma nilipata kamisheni ya rais na nyota pia certificate of attendance. Vyuo vya jwtz havitoi dipoma yoyote zaidi ya vile vya kitaaluma kama cha waganga cha Lugalo nk ambavyo diploma zinatolewa na wizara ya afya. Capt Komba alipata nyota bila kuisotea kwa kutumbuiza wanajeshi by then wkt wa vita na baada ya mission kulikuwa na tabia ya Rais kutoa nyota za motisha na hizo zilitolewa kwa askari waiotoa mchango mkubwa lakini hwana uwezo na qualifcation za kuwa viongozi(maofisa) wengi walipewa kea mtindo huo na wakapanda vyeo na wakawa makamanda na ndo source ya jwtz kudumaa kumbuka kina hayati Brig Gen Nnauye, etc. Makamanda wa jwtz ni wachache sn wenye elimu inayotakiwa na hutaona weakness zao hadi wanastaafu kwa vile jwtz halina challenge yoyote kivita zaidi ya parade zilezile kila mwaka pale uwanja wa taifa. Hata ubunifu wa parade iweje hawana.
Hbr ndo hiyo!!!
Muimbaji mahiri! Moja ya nyimbo zake nyingi maarufu ni ile ya mdudu aliyevamia kitanda cha baba na mama akihamasisha kampeni za ugonjwa wa AIDS. TBC hawajaionyesha muda mrefu kidogo lakini I like the song. Siasa za bungeni sijui sana uwezo wake ukoje. Labda ni guru wa kusikiliza na kushauri akiwa nje ya ukumbi wa bunge kuliko mjengoni na kuhimiza maendeleo jimboni? Maana wapo watu wa aina hiyo piaSasa Mbona huyu jamaa aliwahi kuchangia hata hoja moja Bungeni na hiyo degree yake amepata saa ngapi maana muda wote ni kuimba na kutumbuiza na kufanya kampeni kwa ajili ya mzee wa kaya
Niliwahi kumuona siku moja akiwa Bungeni anachangia kweli Tanzania tunao wabunge, maana nilikaa na kujiuliza mara kadhaa na kuona huyu jamaa yupi ndio nikaanza kufatia habari zakeMuimbaji mahiri! Moja ya nyimbo zake nyingi maarufu ni ile ya mdudu aliyevamia kitanda cha baba na mama akihamasisha kampeni za ugonjwa wa AIDS. TBC hawajaionyesha muda mrefu kidogo lakini I like the song. Siasa za bungeni sijui sana uwezo wake ukoje. Labda ni guru wa kusikiliza na kushauri akiwa nje ya ukumbi wa bunge kuliko mjengoni na kuhimiza maendeleo jimboni? Maana wapo watu wa aina hiyo pia
Tunapenda vitu rahisi kama hivi, Ndio watu, na wanasiasa wetu walivyoJosh Michael,
Li-CV la Major Komba ndilo hilo hapo.
Ukijumlisha Diploma tatu na Cerificate moja (2+2+2+1) na uzoefu nadhani yupo katika kiwango sahihi?
........
Jamaa aliyeamua kutoa kirefu cha CTU kuwa ni CADET TRAINING UNIT sio SAHIHI,herufi hizo zilikuwa na maana ya CHUO CHA TAIFA CHA UONGOZI.
Kilikuwa kinafundisha nidhamu na uongozi kwa kada wa chama pamoja na mambo ya Ujeshi,ndio maana mpaka sasa kuna watu wenye majina yao yanayoanzia na vyeo ya kijeshi.Vyeo hivyo ni vya maafisa wadogo kama luteni na kapteni,hawa baada ya kumaliza mafunzo yao hawakujiendeleza sana kijeshi bali kisiasa.mfano wao ni LUTENI MAKAMBA, LT LOWASA(yeye hakupenda kutumia cheo cha kijeshi)CAPTAIN CHILIGATI nk.