Naombeni chimbo la matunda Dar

Naombeni chimbo la matunda Dar

Mie kwa mtazamo wangu nenda mabibo au temeke stereo ni karibu na hospital ya rufaa ya temeke ukifika hapo nichek nauza madafu
Hahahaha, nyie wadada wa jf bwana.

Kazi ya madafu si ya wanaume hiyo?

Anyways naskia buguruni kule uhakika. Hapo stereo sio kuwa na wenyewe wanajuana?

Mabibo huko hata sina experience nako.
 
Atakanusha taarifa hizi.. 😂
Ila huo ndio ukweli, nimekuwa nikimu idealize kama mke wangu toka muda sana.

Nimeandika uzi, akaona aibu hakujibu, ila ndani ya mtima wake anajua mimi Gunner11 ndiye mwanaume pekee nitakayo mpa anacho kitaka
mimi sina cha kuongeza kabisa
 
Huyu mtoto kuna siku ntamchapa hadharani. Huyu size yenu wewe na Malerine na Chicca, mie bibi yake.
Haiwezekani... Wewe hata in your mid 30s bado kabisa. Uko katika prime yako, na sitaki uteseke tena na vijana wa hovyo..

Na kuahidi utapata upendo ambao ulikuwa ukikesha usiku na mchana ukiomba Mungu akujaalie.

Hivyo, basi nakuomba uchukue maamuzi sahihi maana muda nao unakwenda. Sikiliza sauti yako ya ndani, achana na wapambe
 
Back
Top Bottom