Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,656
- 31,804
- Thread starter
- #41
Hahahaha, nyie wadada wa jf bwana.Mie kwa mtazamo wangu nenda mabibo au temeke stereo ni karibu na hospital ya rufaa ya temeke ukifika hapo nichek nauza madafu
Kazi ya madafu si ya wanaume hiyo?
Anyways naskia buguruni kule uhakika. Hapo stereo sio kuwa na wenyewe wanajuana?
Mabibo huko hata sina experience nako.