Naombeni chimbo la matunda Dar

Naombeni chimbo la matunda Dar

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Hii ya kuuziwa matunda bei za vyakula haija kaa poa kwangu.

Naombeni machimbo ya sehemu wanapo jumua matunda kwa Dar.

Atleast niwe naenda kuchukua ya week nzima kabisa kwa bei poa.

Napenda kwa sababu napenda juice iwe kwa friji, na matunda kwa ujumla Naya penda sana

So wanabodi wa Dar Naombeni mwongozo Sehem ya kupata matunda hasa
Parachichi, embe, nananasi, chungwa, ndizi..

Nitashukuru sana.
 
Nimemaliza kula mdodo hapa mtamu balaa... ila nimeuziwa 500/=
Huku nakoishi eti dodo buku, alaf nimetoka kijijini mwaka jana mida kama hii, dodo tulikuwa tunaenda kuchuma tu. Aisee matunda huku mjini hata iwe msimu nauziwa bei mbaya
 
Hii ya kuuziwa matunda bei za vyakula haija kaa poa kwangu.

Naombeni machimbo ya sehemu wanapo jumua matunda kwa Dar.

Atleast niwe naenda kuchukua ya week nzima kabisa kwa bei poa.

Napenda kwa sababu napenda juice iwe kwa friji, na matunda kwa ujumla Naya penda sana

So wanabodi wa Dar Naombeni mwongozo Sehem ya kupata matunda hasa
Parachichi, embe, nananasi, chungwa, ndizi..

Nitashukuru sana.
Wewe Dar wa Kuja nini ? ukiwa Mndewa wa Dar kama Mimi lazima ujue machimbo ya bidhaa na vitu muhimu
 
Back
Top Bottom