Naombeni chimbo la matunda Dar

Naombeni chimbo la matunda Dar

Hii ya kuuziwa matunda bei za vyakula haija kaa poa kwangu.

Naombeni machimbo ya sehemu wanapo jumua matunda kwa Dar.

Atleast niwe naenda kuchukua ya week nzima kabisa kwa bei poa.

Napenda kwa sababu napenda juice iwe kwa friji, na matunda kwa ujumla Naya penda sana

So wanabodi wa Dar Naombeni mwongozo Sehem ya kupata matunda hasa
Parachichi, embe, nananasi, chungwa, ndizi..

Nitashukuru sana.
Mabibo ,ukiwahi morning kama mlafi unaweza beba ya mwezi mzima kwa 10k tu😂
 
Back
Top Bottom