Naomba wataalamu wetu wanisaidie kutafsiri kipengele hiki katika lugha yetu ya Kiswahili

Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam.

Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW!

View attachment 2648997

Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
Saa100😳😳😳😳
 
Lengo la hii mikataba kuvuja vipande vipande ni ili watanzania wazungumze kwa mda wakishachoka kuuzungumzia wanaletewa tangazo la "Dawa ya NGUVU ZA KIUME" imepatikanampaka tangazo likaishe nguvu MKATABA HALISI umeshasainiwa, mkija kuuliza mnaambiwa ule uliokua kwenye mitandao ulikua feki ulikua unatumiwa na watu wasioitakia ikulu mema na ulikua unapotosha wananchi, mkataba halisi ni mzuri na unafanya kazi tayari...
Ndio mtajua hamjui......
 
Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam.

Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW!

View attachment 2648997

Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
Hapa kuna jambo la kisheria linahitaji umakini mkubwa.Mkataba unasema hautavunjika kwa hali yoyote,Naomba tuelewe tafsiri hapo ya neno hali yoyote.

Lakini sentensi pia inaendelea kutaja baadhi ya mambo yanayoweza kuvunja huo mktaba,Hapa kuna mtego.
 
Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam.

Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW!

View attachment 2648997

Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
Haya mambo ya kunyofoa vipandebvya mkataba vipande tu vya vifungu yanaweza kusababisha tafsiri potofuu. Kwa hivyo, ni busara Kwanza kuona Kifungu cha 20 kinasemaje.
 
Translation: Ndoa hii ikishafungwa, kamwe katu kabisa hakuna yeyote anayeweza kuibatilisha -- awe mtawala, rais, shekh, padre, kasisi, katekista, ama askofu -- hata kama pande hizi mbili zigombane na kuhasimiana kiasi cha kung'oana meno ama kunyweshana sumu.
🤣🤣🤣🤣🤣🎂🎂
 
Huko Dodoma Speaker ameshaanza kuwaandaa wabunge kisaikolojia kwa namna ya kujadili, direction of discussion na sio kuwa na mawazo huru!
Speaker Rais PM Ni wajumbe wa CC ya chama, mbunge atakayeonesha kukerwa kwa namna yoyote au kujadili kwa matazamo tofauti au kuhoji Mambo yenye utata na kuamsha hisia za watanzania Walio wengi atakutana na rungu 2025!
Laiti kamantungekua na oppositi Bungeni wangesaidia kuraise concern lakini ndio hivyo kila aangalia meza yake kuliko maslahi ya taifa
CCM nichama cha watu wanaojua kujitoa ufahamu. Not for the National interest CCM party is there to practice herding behavior, herding behavior (a.k,a unyumbu) is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of group objective or fear
 
Maana yake Mkataba ni WA MILELE Si miaka 100 pekee.

Tuungane kukataa UOVU huu juu ya nchi yetu.
Mlokua wapi kuhamasisha watu kuungana wakati ule binadamu wanaokotwa kwenye viroba kwenye fukwe za bahari,mje muungane sasa hivi,sukuma gang
 
Nadhani jamii mfu imeenza kufufuka, (kujitambua)
Yaani hawa sukuma gang wanataka kuwaaminisha watu kua hili la bandari ni Jambo ovu na baya sana kuliko yale maovu ya mwendazake kama kunyofoa roho za binadamu na mengine,halafu hata hili la bandari kama ingekua nyakati za tungefahamu baadae watu wameshamsainishana hakuna MTU angejua,hakuna mtu angebisha na lisingefanyiwa promo kiasi hiki
 
Wewe ni matacle
 
Back
Top Bottom