Naomba uwe rafiki yangu.

Naomba uwe rafiki yangu.

Najisikia mpweke sina marafiki hapa Jamii Forums.:grouphug: Wa face book wameniharibia maisha siwataki tena.

as a leader there is one last thing you should know before you surrender..."to kill someone and to be merciless"
umekuja nahiyo strategy eeh!
 
Bila shaka utaachana na hao kisha mimi, siku zote muafaka huwepo, fika mwafaka kisha endelea na facebook. huku hakufai kabisa bora hata facebook. Au ulifumaniwa katika facebook, eleza kwa uwazi kisha nitakupokea kifalme katika jamii hii uliyopo sasa

Wengine hawajanipa haya masharti. kama hutaki sepa sio lazima.
 
kama mambo bambam basi baadaye...Hujatumwa na Mataka kweli wewe?
 
Naona umenigongea LIKE, ndo kusema tushakuwa marafiki siyo?Waambie kabisa hawa wasiopenda mimi na wewe tupendane.
mwambie wewe ndo papaa fataki la fery aka papaa michemsho ,papaa mavocha papaa malunch na maddiner hapo amefika na walichomfanya fb ni cha mtoto wewe unaharibu kiukweli ila uzuri wako unarepair fastanalog off
 
Eish! Hizi bange za mchana bana!
 
Hapo sasa tutaelewana. Ila inabidi uniambie kwanza upo wapi? Uniambie pia kama unatoa ushirikiano hasa unapohitajika!

Kwa sasa nipo Nigeria. ushirikiano wa msingi haukosi.
 
as a leader there is one last thing you should know before you surrender..."to kill someone and to be merciless"
umekuja nahiyo strategy eeh!

Good thing am just a follower then. no need of kilin.
 
Mwaya Mpoleee usijisikie mpweke mie niko unaeza nitumia kama rafiki yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom