Naomba uwe rafiki yangu.

Naomba uwe rafiki yangu.

Karibu.....ila hicho walichokuharibu facebook hakitatuharibia?!!!1
 
Sasa kama umefunga akaunti, urafiki tutaufanyaje bila kufahamiana? Au hiyo avatar yako ni picha yako halisi kama ilivyo ya kwangu? Afu jinsia yako ni He/She?

Babu upo makini kuongeza idadi ya wajukuu wa kuwakagua
 
@Asprini, jinsia yangu me. nimekimbia FB sbb ya kufanyiwa ushenzi sitaki huo ushenzi ujirudie ndio maana nimefunga.
My Good Lord! Ni ushenzi gani uliofanyiwa mwanaume? Inatisha sana aisee. Huyu Cameroon huyu! Khaa!
 
@Otis, narudia mie ni gal. hata hivo niwe me ama ke kuna ubaya gani kua rafik?
 
@Choosen, unanifanya niwe na wasi. mambo bam bam.
 
Najisikia mpweke sina marafiki hapa Jamii Forums.:grouphug: Wa face book wameniharibia maisha siwataki tena.

Jisikia mwenye kheri na faraja pindi utakapo kuwa na rafiki mzuri kama Fidel.
 
@Asprini, teh teh teh. ndo mana mnauliza sana kumbe waoga? nae c binadam.
 
Najisikia mpweke sina marafiki hapa Jamii Forums.:grouphug: Wa face book wameniharibia maisha siwataki tena.

Bila shaka utaachana na hao kisha mimi, siku zote muafaka huwepo, fika mwafaka kisha endelea na facebook. huku hakufai kabisa bora hata facebook. Au ulifumaniwa katika facebook, eleza kwa uwazi kisha nitakupokea kifalme katika jamii hii uliyopo sasa
 
@Asprini, teh teh teh. ndo mana mnauliza sana kumbe waoga? nae c binadam.
Naona umenigongea LIKE, ndo kusema tushakuwa marafiki siyo?

Waambie kabisa hawa wasiopenda mimi na wewe tupendane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom