naomba ushauri wenu wana jamii

mwambie kaka yako azungumze na mkewe amuonyeshe hizo picha wamalize matatizo yao wenyewe
 
Ni vibaya sana kufanya uchunguzi wa jambo ambalo hutaweza kulifanyia maamuzi baada ya kujuwa ukweli.
 
Wakae wawili na mkewe waongee, kama mke kaona ni makosa na anahisi anaweza kuendelea nae. Kusema amuache ni nzuri kama hana mpango wa kuoa tena. But pia, inategemea kama wana familia na hiyo familia ina ukubwa upi.
 
leo upo serious mara leo umelala wamemfumania kaka ako analiwa denda mbona huelewek beib.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…