umenichekeshaKwahiyo umemwambia asubir kidogo uwaulize jf ndo utamjibu au?
Ndoa ni kama glasi mbili zenye maji zilizobebwa juu ya sinia, kujigonga ni jambo la kawaida ila linda zisivunjike tu,Yeah am free mpenzi naomba ushauri wako
mmmh,muongo huyo.hata ingekuwa mimi ningesema hivyo hivyo.kwa kuwa hayo mengine huyo jamaa hana ushahidi,atashikilia hivyo hivyoanasema hajaliwa lakini ame kiss na yupo tayari kuapa mbele ya msahafu
Kaka picha amesha ziona na zipo live kabis
Kaka yangu sio mimi naomba ushauri wako
lakini wife wahuyo alokula denda ni mzuri kushinda wife wa kaka yangu tufanyeje nimshauri vipi?
Kwahiyo umemwambia asubir kidogo uwaulize jf ndo utamjibu au?