naomba ushauri wenu wana jamii

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
msinitanie na sio mzaha kaka yangu kamfumania mkewe wake kapigwa picha analiwa denda na mume wa mtu amekuja kwangu kupata ushauri na mimi tupo sawa kiumri nitamsadiaje
 
msinitanie na sio mzaha kaka yangu kamfumania mkewe wake kapigwa picha analiwa denda na mume wa mtu amekuja kwangu kupata ushauri na mimi tupo sawa kiumri nitamsadiaje

Mpo sawa kiumrì kwani ni pacha wako?
Au ni cousin wako?
Well. Japo kwa mwanaume inauma sana, ni heri achunguze kama mkewe anamegwa nje.
Kama kaliwa denda hadharari, je chumbani anafanyaje?
Akiisha mchunguza. Kukaa nae au kumwacha. Kumshauri au kumwekea kikao yote ni juu yake muhusika.
 
leo nipo mpole kaka yangu kamfumania mke wake analiwa denda na dereva wa gari
 
leo nimeshikwa pabaya wana jf huyu ni kaka yangu naomba msada wenu mke wake kapigwa picha analiwa denda live bar
 
mbna kawaida tu kwa sasa..we vumilia tu au we ndo ulitaka dereva ale denda lako??
 
Ngoja kwanza nicheke..Hivi Jane ni account ya pili ya FF??? AU maritina?? baba mngoni mama mchaga??
 
lakini wife wahuyo alokula denda ni mzuri kushinda wife wa kaka yangu tufanyeje nimshauri vipi ?
 
Hii ingehamia chit chat ha ha ha maana!! au MMU ni "mochware" pa ufuska na fumanizi za kutwa mara tatu!!
 
Mi nataka denda lako mrembo jane, tafadhari nisaidie maana najua wewe hujaolewa unaishi kwa kaka yako hivyo hakuna wa kukufumania!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom