Naomba ushauri wenu nisomee field gani?

Naomba ushauri wenu nisomee field gani?

Angalia unacho kipenda,Fanya research katika hiyo kozi kisha fanya maamuzi.
 
Hata mimi nilimshangaa kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani jamaa anaomba ushauri kwa mbwembwe nyingi..! Anyway matokeo hayo si mabaya ila alipaswa kuziweka wazi alama zake ili watu wamsaidie kumpatia uelekeo sahihi kwake.
 
Nimemaliza form six pcm nimefaulu fresh
Naomba ushauri wenu nisomee field gani yoyote ambayo ni nzuri kwa masomo niliyofauli.

Hakuna uamuzi niliofanya ila naomba ushauri wenu ili niweze kufanya uamuzi sahihi.

Pia katika ushauri wenu naombeni mzungumzie na kwenye suala la ajira.
Kufaulu fresh ndo division gani? Una haraka ya nini?? Eleza mm nimemaliza pcm mwaka huu Physics nina Aor B,Chemistry, A/Math nina hiki ndo tukushauri ksb kila kozi ina minimum requirements walimu wanao wafundisha kazi wanayo
 
Back
Top Bottom