Naomba Ushaur Wenu Nifanyeje Ili Watu Waweze Kunitambua Kwamba Na Mimi Ni "MTU MBELE YA WATU?"
Nawasalimu Wote,,!
Mimi Ni Kijana Mwenye Umri Wa Miaka 20, Kiumbo Mm Ni Mwembamba Sana
Mpaka Nashindwa Kabisa KUANZISHA Uhusiano Wa Kimapenz Na Mwanamke,,
Sometimes Nikikaa Na Vijana Wenzangu Wananicheka Sana Kuhusu Umbo Langu
La Mwili,,mara Wananiambia Hivi...("We Jamaa Ni Sindano Sana",, "we
Jamaa Ukipata Demu Hata Bao Moja Hufikish",,,,"we Jamaa Ni Mlenda
Sana",,,,"hivi Una Demu Kweli?",,,,,,..)
Yaan Nakuwa Comfused Sana Kisaikolojia Mpaka Nashindwa Kujiamini
Ninavyokuwa Mbele Ya Kundi La Watu,..
Naomba Ushaur Wenu Nifanyeje Ili Watu Waweze Kunitambua Kwamba Na Mimi
Ni "MTU MBELE YA WATU?"
Tafuta kipotabo mwenzako...
Jiamin tu, mbona kawaida tu, hlf unaweza ukawa na mwil mkubwa hlf kitandan ukawa zero, me binafs n mwembamba ila mziki wng anaujua Shem wk, confidence ndo ki2 cha mcng kuliko vyote
Ila tusemage tu na ukweli mwanaume aliejaajaa hua anavutia kichiziii
Jitahidini hata vifua muwe navyo vipana sasa mwanaume anakua na kifua cha panzi ndio nini sasa
Ila tusemage tu na ukweli mwanaume aliejaajaa hua anavutia kichiziii
Jitahidini hata vifua muwe navyo vipana sasa mwanaume anakua na kifua cha panzi ndio nini sasa
Dina mwenzio ana stress apo za wembamba nawe wazidi kumtia joto sio vizuri shosti......
Unachosema kwel lkn wengne ndo nature ya miili yao pia wengne wana matatizo ya kiafya xo hawawez kujaa big shoo
Big shoo ni too much bana wastani