Naomba ushauri wako kuhusu wembamba nilionao

Naomba ushauri wako kuhusu wembamba nilionao

Tuwekee picha jaman ya wanaume waliojaa jaa wastani,kwenye swala la kujamba inategemeana na mtu kwanza kujamba ni mfumo wa kutoa hewa chafu mwilinii

usihofu Dangerm
handsome-body-muscles-young-african-american-man-21025759.jpg
stock-photo-torso-muscles-on-fit-healthy-toned-body-of-handsome-young-african-american-man-wearing-black-84103618.jpg
 
Hakuna mtu ambae anaweza kukutambua kabla ya wewe hujajitambua

Tatizo ulilonalo linawakabili wengi sana,watu tunadhani heshima na ubinadamu wetu unaongezwa au kukamilishwa na watu wengine,yaani unakuta mtu bila ya kusifiwa hajaona kama yeye ni mtu au binadamu,matatizo haya yanaletwa na malezi yetu

Kabla ya watu kukubali jikubali kwanza wewe mwenyewe,kumbuka ukiwa mwembamba au mnene au uwe na umbo lolote lile bado watakusema tu,usidhani kuwa kuna aina ya umbo ambalo ni "zuri" kama unavyofikiria,Mungu amekuumba kamili na huhitaji mtu mwingine akuongezee sifa yoyote ile ili uwe kamili kwani tayari wewe ni kamili

Anza kujiamini kuanzia leo na kataa mawazo dhaifu ya kujiona hujakamilika kuanzia leo,jipende kwanza kabla ya watu wengine hawajakupenda kwani ukiweza kujipenda hata dunia nzima ikuchukie bado utabaki unajiamini na utajiona wewe ni binadamu kamili

Achana na mawazo ya rafiki zako,wewe waone kama wanatania tu wakati wanakuambia hivyo na usizingatie kabisa maneno yao!

Umesema vyema mkuu, big up.
 
Nawasalimu Wote

Mimi Ni Kijana Mwenye Umri Wa Miaka 20, Kiumbo Mimi Ni Mwembamba Sana Mpaka Nashindwa Kabisa kuanzisha Uhusiano Wa Kimapenzi Na Mwanamke.

Sometimes Nikikaa Na Vijana Wenzangu Wananicheka Sana Kuhusu Umbo Langu La Mwili, mara Wananiambia Hivi("We Jamaa Ni Sindano Sana".

"We Jamaa Ukipata Demu Hata Bao Moja Hufikishi".

"We Jamaa Ni Mlenda Sana".

"Hivi Una Demu Kweli?"
Yaani nakuwa Confused Sana Kisaikolojia mpaka Nashindwa Kujiamini Ninavyokuwa Mbele Ya Kundi La Watu.

Naomba Ushauri Wenu Nifanyeje Ili Watu Waweze Kunitambua Kwamba Na Mimi Ni mtu mbele ya watu?
Hakuna anayeweza kukuona ni duni asipopata ridhaa yako mwenyewe,fanya kujiamini na ukatae hiyo roho ya kujiona duni,fikira na mtazamo wako vibadilike na kujiona unaweza,ukijua kuwa wapo wadada walioumbwa pia kwajili ya watu wembamba,maisha yataendelea,nawe utazifurahia siku hizi chache tu ulizopewa na Mungu kuishi.
 
Jiamin tu, mbona kawaida tu, hlf unaweza ukawa na mwil mkubwa hlf kitandan ukawa zero, me binafs n mwembamba ila mziki wng anaujua Shem wk, confidence ndo ki2 cha mcng kuliko vyote

Sory bt sikuzote uwaga na mashaka kuhusu. Mwanaume anaejisifu mambo ya faragha
 
Tuwekee picha jaman ya wanaume waliojaa jaa wastani,kwenye swala la kujamba inategemeana na mtu kwanza kujamba ni mfumo wa kutoa hewa chafu mwilinii

Wanaume weng wanaojamba jamba ni sababu ya kunywa sana bia... anakuwa na ges san Kwene kitamb
 
Wanaume weng wanaojamba jamba ni sababu ya kunywa sana bia... anakuwa na ges san Kwene kitamb

Kuna ambao wamejaa yaan mwili wa mazoezii hawana vitambi,pia kuna ambao hawanywi pombeee
 
Back
Top Bottom