Naomba ushauri wadau nina shida kubwa

Naomba ushauri wadau nina shida kubwa

Habari wana MMU

Naanza moja kwa moja na tatizo langu. Mimi ni kijana wa miaka 28 naishi na mpenzi wangu ana umri wa 26.

Kwa miaka mitatu ila hayuko tayari kuzaa wala kuolewa na mimi na anasema hayuko tayari kwa sasa, ila anakaa kwangu na mimi nampenda sana.

Sasa nifanyeje ili anikubali.Je kuna dawa au au mbinu gani nifanye ili akubaliane na Mimi. Au kuna mtaalamu wapi anipe Mbinu au dawa.

Nisaidieni nampenda sana na bado nipo nae home kwangu pia ningependa kuzaa naye.



Samahani nani anayeiendesha hiyo nyumba
 
hivi unafahamu maana ya DEMU ? Demu maana yake ni kitambaa kikukuuu, kilichochoka na kibovu sasa kwanini WANAWAKE mnawaita mademu yaani sisi ni vitambaa vikukuuu? hebu badilisha kauli yako hapo juu bestito


na kama ulikuwa hujui ndo ujue tafsiiri ya neno DEMU na maana yake ni ipi?

Haya baba mkuu lady furahia!
NIMEKUFURAHIA pia kwa kuwa hupendi "KE" gender isemwe vibaya. UKO SAHIHI KUSIMAMIA HESHIMA YA "KE"

Ninafahamu haswa maana ya 'demu' ningeweza kubadili uyo 'screpa' pia usingependezwa...hata mm cpend kabisa kumkosea mtu heshima, ila kwa ile COMMENT YANGU NILIMAANISHA VILE nilivosema cuz najua maana yake.
Ni demu cuz yupo yupo tuu, hana msimamo mzur tu, ni mzinz tuu, haioni thamani yake. Xo, yey huyo namfananisha na tambara kuu kuu tu. INAKUWAJE MWANAMKE UNAENDEKEZA X-TREEM YA KUGEGEDWA TUUU....Kuolewa hutaki??? Tunaposema demu...huwa tunamaanisha pia ni mlupo/milupo. SINA UBAYA NA WEW HATA! Peace & luv.
 
Nashukuru kwa kunitia Moyo

Apologise lady kumbe wewe ni mtalaam wa kitia moyo uliopotea nitakutafuta.

back kwenye topic
wewe mtoa mada unapewa ushauri wa maana wewe unachukulia kama unatiwa moyo??

chukua hatua uliyoambia na apologise lady.
 
Last edited by a moderator:
Habari wana MMU Naanza moja kwa moja na
tatizo langu. Mimi ni kijana wa miaka 28 naishi na mpenzi wangu ana
umri wa 26. Kwa miaka mitatu ila hayuko tayari kuzaa wala kuolewa na
mimi na anasema hayuko tayari kwa sasa, ila anakaa kwangu na mimi
nampenda sana. Sasa nifanyeje ili anikubali.Je kuna dawa au au mbinu
gani nifanye ili akubaliane na Mimi. Au kuna mtaalamu wapi anipe Mbinu
au dawa. Nisaidieni nampenda sana na bado nipo nae home kwangu pia
ningependa kuzaa naye.
jf tamu sana, jf never die be4 i
die. ivi utaishi vip kwa mwanaume hajakuoa? vip wazazi wanajua alipo?
au ndo wale first year loan board haisomi kajisogeza kwako? aibu sana
wadada. ndo maana tunateswa.
 
Sasa kama hakutaki hapo kwako kinamkalisha nini???
Au wewe unamuonyesha kama unaunapenda sana kwa hiyo anatikisa kiberiti.
Historia yao ikije??? asije akawa kakimbia njaa kwao.

SASA KUNA PLAN A na B:
A) Huyo wewe achana nae tena kwa amani, mwambie kuwa umri ulionao unahitaji mke sio girlfriend, kwa hiyo kwakua wew haupo tayari basi wacha nitafute aLiye tayali kuolewa.

B) Tafuta mwanamke mwingine ambaye utaona anakufaa, pimeni afya mtie mimba hiyo ni tiketi ya kumuoa. huyo bidada muache aendelee kuwa ajuza ndio atajua kuwa alipoteza bahati.

habari ya kusema nampenda sana achana nayoo, kumpenda ndio mdudu ganii Arghhhaaa!!

Hapo kwenye red...kwani hawezi muoa mpaka ampe mimba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom