Naomba ushauri wadau nina shida kubwa

Naomba ushauri wadau nina shida kubwa

hahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
uwiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie


shaurioro mie simo umesema wewe mwenyewe
Alafu mnahangaika kumshauri mwanaume anaeshindwa kufanya maamuzi rahisi hivi?

Huyu ni me lakini ana genes za ke...

Hopeless
 
mueleze kama hataki wewe unatafuta mke mwengine wa kuoa upate kumuangalia msimamo wako. baadhi ya wanawake wanahisi ukimuoa uhuru wake utapotea na hautompenda kama ulivompenda mwanzo
 
Hvi unamtiaga kweli au? Kama unamkuna atashindwaje kubeba mimba? Wew mle tuu bila salama akishapata mimba atakubali mwenyewe kuolewa

Huyo girlfriend wake ni mwerevu kuna family planning anatumia wewe unafikiri mimba inangia kirahisi kama mtu hataki
 
shukuru Mungu labda kuna kusudi Mungu anakuepusha mwache aende zake ila usimtie mtu mimba kisa ndo ticket ya kumuoa mfyuu
 
mwanamke umekaa naye halafu anakukataa kakuona humfai . tena ama maanisha huyo usihidanganye mwanamke umeishi nayee kabisa badala akulazimishe ndoa anakataa looo keshakuchoka na mambo yako ambayo tu hajayasema
 
Mtaimingi wakati amelala mpake pilipili kwenye papuchi aka kipochi manyoya...
 
Kaza moyo ama amsha popo..? Mamanzi wa siku hizi wana wanaume wao wanaotamani kuzaa nao may be your not her kind hommie ji add tuu hapo then pita➡
 
Mkuu naomba unifafanulie huu usemi Tafadhali, so unajua mambo ya kiswahili?
 
Ni nyumba yako au umepanga?
Kama ni kwako mwambie akupishe umepata mwanamke ambae mna mipango ya kua mke na mume hivyo mnahitaji nafasi hapo nyumbani.

Kama umepanga jikusanye tafuta kodi,hela ya kuhamisha vinavyokuhusu then siku unaita gari wanabeba vitu kupeleka makazi mapya yeye unamuacha hapo.

Ukicheka na nyani utavuna mabua, mwenzio mmoja yalimkuta hayohayo baadae mwanamke akadai mgao wa mali kwa kua hakumkuta mwanaume na nyumba akadai wamejenga wote.
 
mnaishi miaka mitatu na si mkeo?
labda yeye ndo ana take responsibility kwahiyo anaona huna Masada kwake hivyo anaona akikuzalia mtoto atamlea mwenyewe.
na watu kama nyie ndo mnapenda bila balance.
 
Huu Ushuri bado sio muafaka ninampenda ila anasema yupo tu Kama Mpenzi na sio ndoa.

yupo tu kama mpnz? hana kwao? au ndo mko chuo? na kama mnasoma na hakutaki mwambie aende hostel!!! maana atakaa hapo kupunguza ukal wa maisha, umeshauriwa ila nawewe jiongeze,

halaf naona unalialia sana mbele yake ndo maana anakuendesha!!!

kama mtu kakwambia hatak chochote kutoka kwako! mwambie aende kwa anaowataka ili kwako waje wanaokutaka..!!!
 
mwanaume kama wewe unapatikana sayari gani.....

umekaa nae miaka mingapi!!!!!!!! kula bure kulala bure pesa ya matumizi bure.....

hujitambui wewe na kazi ipo cos hna kauli as father of house

take ur value...kuwa na principle zako sio kuishi as huna future
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom