Naomba ushauri wadau nina shida kubwa

Naomba ushauri wadau nina shida kubwa

kaka sukar yao unayo usijeukamwalibia mtoto wa2 ujana
 
Kati ya wanaume boya wewe ni namba moja aisee!!
Tena nimekupamdisha hadhi,wewe ni mvulana tu! Yaani msichana yupo kwako,unamlisha,unampa hifadhi,tena ni miaka sasa… halafu anakwambia hayuko tayari kukuzalia,hayuko tayari kuolewa na wewe… halafu mpaka hapo umejiongezaje?
Ashakuona poyoyo ndo maana anakupa masharti magumu…
huyo Mlaze Njaa kuanzia leo! Mnyime unyumba kuanzia leo! Usimpe hata mia ya vocha!
Atatoka mwenyewe…
Ila kama unajua umekuja hapa kuomba ushauri wakati hata mshipa wa kumwacha huna,bora utoke humu rudi huko huko kwenye uzoba wako…
Halafu nina hasira sijui kwa nini!! Kijana umeniharibia siku… kama una baba au mama hebu msimulie hii hadithi,atakushangaa pia
 
Habari wana MMU

naanza moja kwa moja na tatizo langu. Mimi ni kijana wa miaka 28 naishi na mpenzi wangu Ana umri wa 26 kwa miaka mitatu ila hayuko tayari kuzaa wala kuolewa na Mimi kwa kuwa anasema hayuko tayari kwa sasa na wala hataki kuolewa na Mimi ila anakaa Kwangu na Mimi nampenda sana ila yeye hayuko tayari. Sasa nifanyeje ili anikubali? Je kuna dawa au au mbinu gani nifanye ili akubaliane na Mimi. Au kuna mtaalam wapi anipe Mbinu au dawa.
Nisaidieni nampenda sana na bado nipo nae home Kwangu pia ningependa Kuzaa naye

iko hvyo mwache then songa mbele
 
Sasa kama hakutaki hapo kwako kinamkalisha nini???
Au wewe unamuonyesha kama unaunapenda sana kwa hiyo anatikisa kiberiti.
Historia yao ikije??? asije akawa kakimbia njaa kwao.

SASA KUNA PLAN A na B:
A) Huyo wewe achana nae tena kwa amani, mwambie kuwa umri ulionao unahitaji mke sio girlfriend, kwa hiyo kwakua wew haupo tayari basi wacha nitafute aLiye tayali kuolewa.

B) Tafuta mwanamke mwingine ambaye utaona anakufaa, pimeni afya mtie mimba hiyo ni tiketi ya kumuoa. huyo bidada muache aendelee kuwa ajuza ndio atajua kuwa alipoteza bahati.

habari ya kusema nampenda sana achana nayoo, kumpenda ndio mdudu ganii Arghhhaaa!!

Hahaha my una mambo weye! Mtoa mada anampenda mtu asiyependeka
 
Habari wana MMU

Naanza moja kwa moja na tatizo langu. Mimi ni kijana wa miaka 28 naishi na mpenzi wangu ana umri wa 26.

Kwa miaka mitatu ila hayuko tayari kuzaa wala kuolewa na mimi na anasema hayuko tayari kwa sasa, ila anakaa kwangu na mimi nampenda sana.

Sasa nifanyeje ili anikubali.Je kuna dawa au au mbinu gani nifanye ili akubaliane na Mimi. Au kuna mtaalamu wapi anipe Mbinu au dawa.

Nisaidieni nampenda sana na bado nipo nae home kwangu pia ningependa kuzaa naye.

Kama mawazo yako yamefikia hapo aisee ni hatari,kuna dawa kweli ya kumfanya mtu akupende? kama unaamini hivyo basi wasiliana[MENTION] na Anna pita[/MENTION]
 
Short and clear akupe sababu kama hana aondoke au ondoka wewe ukaoe
 
Habari wana MMU

Naanza moja kwa moja na tatizo langu. Mimi ni kijana wa miaka 28 naishi na mpenzi wangu ana umri wa 26.

Kwa miaka mitatu ila hayuko tayari kuzaa wala kuolewa na mimi na anasema hayuko tayari kwa sasa, ila anakaa kwangu na mimi nampenda sana.

Sasa nifanyeje ili anikubali.Je kuna dawa au au mbinu gani nifanye ili akubaliane na Mimi. Au kuna mtaalamu wapi anipe Mbinu au dawa.

Nisaidieni nampenda sana na bado nipo nae home kwangu pia ningependa kuzaa naye.

kama hakupimi huyo basi bado anachagua wapenzi.. she is not sure yet.
 
sasa wewe mwanaume mzima unalia lia nini. hivi unajua furaha ya mwanamke yoyote ni kuolewa na kuzaa na mtu anaempenda wanawake huwa tupo tayari kujiongeza kwa njia yoyote hayo yatimie. sasa huyo wa kwako hakupendi anakutumia tu hapo anasubiri ampate anae mtaka yeye. sasa we endelea kuwa zoba tu hivi we ni mwanaume kamili kweli mbona hujielewi
 
wanawake wa siku hizi wana akili sana kwakweli,miaka mi3 kuishi pamoja ni ndoa tayari kiserikali hiyo,muache kijingajinga mkagawane mali. Mwambie aende kwao mtakuja kuishi pamoja mkioana ila huyo ni wa kuachwa kijanja
 
Kwanza hujatuambia sababu zake za kukataa kuzaa pamoja na kukataa kuolewa na wewe kwa muda huu.
 
Hvi unamtiaga kweli au? Kama unamkuna atashindwaje kubeba mimba? Wew mle tuu bila salama akishapata mimba atakubali mwenyewe kuolewa
 
Simple test kama kweli na yeye anakupenda tafuta rafiki wa kike mpeleke nyumbani mtambulishe kwake kuwa ndio mke mtarajiwa uone reaction yake kama kweli anakupenda.Vinginevyo unapoteza muda wako bure na mtu asiyekupenda
 
Ushauri wangu kijana! demu amejishkiza tu kwenye hifadhi yako. na nadhani yuko anaempenda kwa dhati pembeni lakini kwa kuwa umewekwa kati huwezi kujua hilo hata kwa msaada wa microscope!! hapana future hapo!! na andaa machozi ya kutosha ya kulia wakati kumwaga mahali usipotegemea!!

Tunaweza kukusaidia kitaalamu utakapoweka wazi historia ya maisha yake!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom