Huu Ushuri bado sio muafaka ninampenda ila anasema yupo tu Kama Mpenzi na sio ndoa.
huyo dada ni mchga 100% bdo yupo yupo anatafuta mwenye pesa asepe! huyo hafai kuwa mke, pia wewe badilika kuwa bado upo upo, ukiona mke wa kuoa, unahama na vyombo vyako siku hayupo unahamia makazi mapya, unaoa. Kuna kupenda na ndoa, baada ya kuoa, utampenda (hata kwa kuforce mwanzoni) baadae utapenda. Ila tafuta mke mwenye sifa za kuwa mke wa kuoa sio gal frend. Huyo ni gal frend, hata wewe huyo gal frend wako ni wa kwanza. Acha ulimbukeni wa mapenzi huyo ukioa atakutesa milele.