Naomba ushauri simuelewi mke wangu

Naomba ushauri simuelewi mke wangu

Kama ushauri,umeshauriwa mkuu.sasa ni wewe tu kuufanyia kazi,,,,,,,pole
 
Bora acheze gemu unakuwa unamkodolea...anatoka bar saa nane usiku...na pombe zake...kwa nini asitolewe nje...
Na kama wana mtoto mdogo (maana ndoa ya 2 years) mwenzie akilala anakuwa kama kafa...afu unamwamsha...
Mi mwenyewe sina mtoto mdogo lakini nikilala sipendi kabisa kuamshwa...naheshimu sana usingizi wangu (else ndo kuzeeshana kwa kukesha)...tena kama week end mara kumi gemu liwe mchana...maana watu wana kremu kuwa shughuli ni usiku tuuuu...napenda sana kulala aisee...


Teh Teh we mleta mada mbona unanisema mimi Sasa? Si ungeniuliza mwenyewe! Wewe upo bize unacheza Game kwenye computer hadi saa6 usiku mi naenda zangu kulala tu!
 
Yaani...bora ameleta hii mada na wenzie wasome...
Wakati mwingine mnalalamika wake zenu wanawanyima kumbe timing...
Natakiwa niamke saa kumi na moja afu wewe saa sita unaniamsha ...
Kulala muhimu bana...

Madaktari wanashauri mtu mzima alale masaa nane mpaka sita sasa mambo ya kukatizana na kuamshana haihusu kwa kweli , badili mida
 
Nimekaa na Mke wangu miaka 2 sasa, tuna mtoto 1, Kinachoniumiza kichwa, Mke wangu yeye nikitaka tendo la ndoa anadai nimuwahi kabla hajapata usingizi, akishasinzia nikamwamsha ili tupeane tunda anachukia sana, na asubuhi hivyo hivyo, leo nimemuuliza kama anamchepuko bora aniambie akasema yeye hana isipokuwa huwa hapendi kuamshwa akishalala. Je? hii ni kawaida au kuna kitu kinaendelea? Na nisipomuanza mimi hata wiki inapita, anadai eti huwa anaham lakini hawezi kuniambia! Hii ikoje wadau? Nahisi kuna mchezo mchafu unaendelea, naomba ushauri wako!
huwa inakuwa muda gani amba huwa unamuamsha? na shughuli zake unavyoona ni za kuchoka kiasi hicho?. tuanzie hapo.
 
Unapoenda kazini acha hata ka LAKI kamoja hapo mezani then ukiwa kazini m text kuwa hizo ni zako za matumizi yako binafsi!

Ukifanya hivyo hata urudi saa 8 usiku atakusubiri tu tena utakuta kanywa na kahawa kabisa ili asilale!!
Mkono mtupu..........?
 
Mama koku pan*ua paja mkwaju waja..brothr inaonyesha huwa haumtengenezei mazingira ya kupenda mgege..be romantic ndugu hata akiwah chumban then ukaenda baada ya dakika kadhaa atajifanya 2 kasinzia bt ukimgusa 2 waletee.
 
Unapoenda kazini acha hata ka LAKI kamoja hapo mezani then ukiwa kazini m text kuwa hizo ni zako za matumizi yako binafsi!

Ukifanya hivyo hata urudi saa 8 usiku atakusubiri tu tena utakuta kanywa na kahawa kabisa ili asilale!!
Mkono mtupu..........?


Hahahahah !
 
Hapo inaonekana we tu ndo mwenye shida mzee na mrs yuko ok hata kama hakuna sex. La kufanya usimuombe sex mpaka uone reaction yake ikoje. sijui kama ubavu huo unao ila ukiweza itakusaidia sana siku za mbeleni. Hii utamuonyeshe kwamba kama hataki na we unaweza kutotaka. Siku nyingine na we mwambie una uzingizi. Wala uzimgombeze, naamini kama ni mwanamke muelewa atabadilika. Endapo atashikilia msimamo wake kwamba naye hajali hata msipo sex basi hapo huna mke na jaribu kuanza kutafuta utaratibu mwingine.
 
Hakika aisee yan kuna wadada wanamaudhi kweli eti akipitiwa na usingiz asiamshwe??? hahahahaaaa. if I were a boy........... angesanda

Hakika umenifanya nicheke sana..angesanda kivipi?
 
Mh ni kweli anachexa game mpka mida hyo bsa yawezekana n kosa lko mkuu jirekebishe utakosa mke
 
Umeoa kabisa! Mwombe leo night akisema usingizi, jitokee taratibu mwombe kistaarabu aje kufunga geti na umuage "tutaonana kesho".. Km maujuzi uliyonayo alishayakubali hadi kuolewa so analeta jeuri sasa dawa yake ni kiburi.. Atabadilika tuu..

ONYO: mchepuko uwe kisu zaidi yake na utumie kinga!!
 
We inaelekea huwa unamuingilia bila kumtayarisha vizuri...basi mwenzio anaona kero la kukutana na wewe...

Naona hili sio tatizo. Tatizo huyu Dada hajampenda mumewe anaishi kwa kumvumilia tu na hakuwa na jinsi ikabidi aolewe na jamaa tu. Cha kufanya hakuna mjadala jamaaa akamate hivyo hivyo ale papuchi yeye ampande tu juu astuke jamaa yuko juu ananyonya m a z i w a huku anatafuta njia kwa gegedo akipitisha pitisha taratibu juu kutafuta maji yatakayo ruhusu gegedo kuingia bila kusema lolote kimnya kimnya. Wanawake bhana wakati mwingine ukicheka nao utaambulia mabua tu.
 
Nature is always nature: yote haya ni jinsi gani mnahuisha ndoa yenu na jinsi gani mpo open kwenye mawasaliano. Jamii zetu za kiafrika zimelea wanawake kama wanaongojea kuambiwa, kuanzwa, kupapaswa nk. Ni ngumu kutoa ghafa kitu mtu anachoamini hivyo ukielewa makuzi na culture ya mtu unaweza ku edit baadhi ya vitu , mfano

  • MWekee mazingira ya kusikilizwa na umuweke huru aongee na wewe jambo lolote, after all she is your wife. Wanaume wengi hawajui kuwa kiu kubwa ya wanawake ni maongezi. Na mara nyingi mama anapoanza stories na vitu kama hivyo baba anaweza kumzima ghafla. Pia elewa kuwa perception zako mwanaume na za mwanamke ni tofauti hivyo unavyoua story zake (hata kama ni kuhusu a simple movie) basi unapunguza ile intimacy
  • Pamoja na ubize kumbuka kumtoa outing : hii simaanishi kutembelea ndugu au jirani, La bali mtoe outing mara moja kwenye sehemu nafuu na kama uwezo upo sehemu nzuri. Na muende wawili maana ukiwa na watoto mnakosa bonding. Na endelea kumuweka wazi kuwa unampenda na unapenda maisha yenu yawe ya amani .
  • Zawadi ndogo ndogo: A blouse, underwear , a handkerchief mara moja moja
  • wasiliana nae mchana kuwa unampenda , unamiss ; muulize anaendeleaje nk , Kama mliachana asubuhi anaumwa kichwa mpigie mchana muulize anajisikiaje
  • Epuka mawazo mabaya bila sababu maalumu: ni kawaida mwanamke kutokuwa na hamu kama hakuna mawasiliano, hukumsikiliza vema katika issue fulani, umemdharau , nk --maana sex kwa mwanamke inaanzia kwa jinsi mnavyowasiliana, nk . Kwa mwanaume hamu ya tendo ipo tu hata kama mmetoka kugombana. Ukielwewa tofauti hizi zitakusaidia sana.
  • Umewahi kusema samahani ukikosea au unassume tu kuwa mambo yameenda sawa sawa?
  • Unasaidia mara moja moja kumbeba mtoto , kazi fulani au anafanya yote?
  • Unamjali matumizi ya nyumbani nk?
  • Kubwa ya yote : Mpeni Mungu nafasi ya pekee katika ndoa yenu , awaongoze katika umoja wenu , mnie moja , kusiwe na uchoyo nk

Maisha ya ndoa ni rahisi kama mume atakaa kama mume, wanawake ni rahisi sana kuadjust kama mwanaume anaonyesha muongozo katika kuweka mahusiano yakawa wazi, ya kirafiki, nk.
 
Back
Top Bottom