mrsleo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,588
- 3,886
aisee hata ingekuwa mimi lazima ungenifungulia thread, sex gani hiyo yakuamshana usingizini? alafu bora mtu akukatishe usingizi mchana lakini usingizi wa usiku ukishakupitia ni mtamu sana mtu anapokuasha unahisi kero ile mbaya sasa unategema mood ya sex itakuja kweli hapo? tatizo wanaume huwa hamtuelewi, hata mimi baada ya ndoa aisee mme wangu ilimchukua muda kunielewa lakini sasahivi kanielewa