Naomba ushauri simuelewi mke wangu

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,146
884
Nimekaa na mke wangu miaka miwili sasa, tuna mtoto 1, kinachoniumiza kichwa, mke wangu yeye nikitaka tendo la ndoa anadai nimuwahi kabla hajapata usingizi, akishasinzia nikamwamsha ili tupeane tunda anachukia sana, na asubuhi hivyo hivyo, leo nimemuuliza kama anamchepuko bora aniambie akasema yeye hana isipokuwa huwa hapendi kuamshwa akishalala.

Je hii ni kawaida au kuna kitu kinaendelea? Na nisipomuanza mimi hata wiki inapita, anadai eti huwa anahamu lakini hawezi kuniambia.

Hii ikoje wadau?

Nahisi kuna mchezo mchafu unaendelea, naomba ushauri wako.
 
Nimekaa na Mke wangu miaka 2 sasa, tuna mtoto 1, Kinachoniumiza kichwa, Mke wangu yeye nikitaka tendo la ndoa anadai nimuwahi kabla hajapata usingizi, akishasinzia nikamwamsha ili tupeane tunda anachukia sana, na asubuhi hivyo hivyo, leo nimemuuliza kama anamchepuko bora aniambie akasema yeye hana isipokuwa huwa hapendi kuamshwa akishalala. Je? hii ni kawaida au kuna kitu kinaendelea? Na nisipomuanza mimi hata wiki inapita, anadai eti huwa anaham lakini hawezi kuniambia! Hii ikoje wadau? Nahisi kuna mchezo mchafu unaendelea, naomba ushauri wako!
aisee hukuni sawasawa looo!ungekuwa unakuna mwenyewe unakuta kavua pichu anataka,au anakufanyia choko kieleweke una tatizo kama sio uchafu,basi unanuka kama sio basi una kabamia labda,au mkeo anamchepuko jichunguze kwanza ndipo uchunguze pole weee
 
yawezekana humkuni vizuri kiasi cha kumsahaulisha huo usingizi wake.

Hakika aisee yan kuna wadada wanamaudhi kweli eti akipitiwa na usingiz asiamshwe??? hahahahaaaa. if I were a boy........... angesanda
 
We inaelekea huwa unamuingilia bila kumtayarisha vizuri...basi mwenzio anaona kero la kukutana na wewe...

Nimekaa na Mke wangu miaka 2 sasa, tuna mtoto 1, Kinachoniumiza kichwa, Mke wangu yeye nikitaka tendo la ndoa anadai nimuwahi kabla hajapata usingizi, akishasinzia nikamwamsha ili tupeane tunda anachukia sana, na asubuhi hivyo hivyo, leo nimemuuliza kama anamchepuko bora aniambie akasema yeye hana isipokuwa huwa hapendi kuamshwa akishalala. Je? hii ni kawaida au kuna kitu kinaendelea? Na nisipomuanza mimi hata wiki inapita, anadai eti huwa anaham lakini hawezi kuniambia! Hii ikoje wadau? Nahisi kuna mchezo mchafu unaendelea, naomba ushauri wako!
 
Mkague kusini kwake inawezekana kuna mtu anautumia na ndio maana anachoka sana.
Nimekaa na Mke wangu miaka 2 sasa, tuna mtoto 1, Kinachoniumiza kichwa, Mke wangu yeye nikitaka tendo la ndoa anadai nimuwahi kabla hajapata usingizi, akishasinzia nikamwamsha ili tupeane tunda anachukia sana, na asubuhi hivyo hivyo, leo nimemuuliza kama anamchepuko bora aniambie akasema yeye hana isipokuwa huwa hapendi kuamshwa akishalala. Je? hii ni kawaida au kuna kitu kinaendelea? Na nisipomuanza mimi hata wiki inapita, anadai eti huwa anaham lakini hawezi kuniambia! Hii ikoje wadau? Nahisi kuna mchezo mchafu unaendelea, naomba ushauri wako!
 
Teh Teh we mleta mada mbona unanisema mimi Sasa? Si ungeniuliza mwenyewe! Wewe upo bize unacheza Game kwenye computer hadi saa6 usiku mi naenda zangu kulala tu!
 
....mkuu nina mashaka na utendaji wako wa kazi.....
kiasi anaonyesha anafanya tendo na wewe kama kutimiza wajibu tu.......
 
Jf never boring...... ina maana yeye anapoenda kulala wewe unakuwa wapi? mi naona ni bora muongozane kuondoa mzizi wa fiina

Mkuu swali lako zuri sana. Mke hawezi kujisikia vizuri kama mara nyingi mme anachelewa kurudi, na hapo hapo kudai tendo la ndoa hata kama mke wake alishalala. Process ya tendo haianzii tu kitandani.....!
 
Hapo kuna mambo mawili. Yawezekana mke wako anapenda usingizi kama walivyo baadhi ya watu mimi nikiwemo. Si busara saa tano usiku ndio uwe muda wa kufanya ndoa. Cha umuhimu tafuta muda muhafaka ikiwezekana mzoeshe mchana.

Pili yawezekana wewe ni mzee wa sogea nikurenge. Mapenzi ni sanaa, fanya utafiti kufahamu nini mke wako anapendelea kwenye uwanja wa malavi davi. Sio unapampu tu kama unajaza upepo kwenye baskeli kwa pump ya mkono.
 
Nimekaa na Mke wangu miaka 2 sasa, tuna mtoto 1, Kinachoniumiza kichwa, Mke wangu yeye nikitaka tendo la ndoa anadai nimuwahi kabla hajapata usingizi, akishasinzia nikamwamsha ili tupeane tunda anachukia sana, na asubuhi hivyo hivyo, leo nimemuuliza kama anamchepuko bora aniambie akasema yeye hana isipokuwa huwa hapendi kuamshwa akishalala. Je? hii ni kawaida au kuna kitu kinaendelea? Na nisipomuanza mimi hata wiki inapita, anadai eti huwa anaham lakini hawezi kuniambia! Hii ikoje wadau? Nahisi kuna mchezo mchafu unaendelea, naomba ushauri wako!

Hiyo ndio ilikua tabia yake tangu zamani au ni mpya? je mwanzo alikua anakuita au wewe ndio unaanza? na kuhusu usingizi mimi binafsi sipenda mtu anisumbue nikasha lala lakini huyu nilonae mbishi ana penda bao za asubuhi nilikua nachukia mpaka sasa napenda,sasa kwa yeye mchukulie pole pole na jaribu kumpa style mpya labda amechoka na za kifo cha mende, jengine mwanamme ni mtu mwenye aibu sio rahisi kukwambia anahitaji utaona viji ishara sasa kama sio mjuzi wakusoma LEBO hapo ndio itakua tabu.........
 
Nimekaa na Mke wangu miaka 2 sasa, tuna mtoto 1, Kinachoniumiza kichwa, Mke wangu yeye nikitaka tendo la ndoa anadai nimuwahi kabla hajapata usingizi, akishasinzia nikamwamsha ili tupeane tunda anachukia sana, na asubuhi hivyo hivyo, leo nimemuuliza kama anamchepuko bora aniambie akasema yeye hana isipokuwa huwa hapendi kuamshwa akishalala. Je? hii ni kawaida au kuna kitu kinaendelea? Na nisipomuanza mimi hata wiki inapita, anadai eti huwa anaham lakini hawezi kuniambia! Hii ikoje wadau? Nahisi kuna mchezo mchafu unaendelea, naomba ushauri wako!
Nionavyo Mimi mkeo huwa unabugudhi na humtayarishi wewe unafikiri tendo la ndoa linaanzia hapo kitandani,ukweli ni kwamba hata mimi nikishalala sahau kabisa wala usiniguse .Jitahidi kujirekebisha bwana usiwe kama mbakaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom