Ni mvulana mwenye umr wa 25 yrs,n ngumu kuelezea ila nilikua na mpnz niliyempenda sana tulianza uhusiano last year 2011,kabla.ya hapo nilikua na gf ambae nilizaa nae mtt wa kike mwenye umri wa 2 yrs now niliachana nae kutokana na ujeur wake na ukorofi wake!
Ss huyu mpnz wa pili alinipenda sana na mm nikampnd pia ingawa pia n mbishi na mkorofi ila alinijali sana!alisafir May dc year akaenda Mwanza tukiwa wapnz ila akiwa Mwanza tuliachana kama mwez hv na mm nikaamua kuishi na yule nilie zaa nae maana niliona wanawake woote n sawa!ss yule wa Mwanza amerudi Arusha ila c kwa kukaa atarudi zake Mwanza next week,shida inakuja nampenda sana huyu wa Mwanza kuliko ninae ishi.nae,yaaan ninae ishi nae niko nae sababu ya mtt tu na c vngne nashindwa cha kuamua maana leo hii nimeonana na wa Mwanza na nikamueleza bado nampenda ingawa naishi na mwenzie.niko teyar kumuacha nilie nae ili niwe na yeye ila jibu ameshindwa kitoa nitakachofanya kwake sawa!
Ss naomba ushaur.jamani nimuache huyu ninae ishi nae sababu nimezaa nae.cmpnd sana niendae.kwa ambae cjazaa nae ila nampenda sana sana ingawa few days to come.atarudi.Mwanza!
Naomba ushaur wenu niko njia panda haswaaaa sielew kp.nafanya