Naomba ushauri pls!

Naomba ushauri pls!

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,929
Ni mvulana mwenye umr wa 25 yrs,n ngumu kuelezea ila nilikua na mpnz niliyempenda sana tulianza uhusiano last year 2011,kabla.ya hapo nilikua na gf ambae nilizaa nae mtt wa kike mwenye umri wa 2 yrs now niliachana nae kutokana na ujeur wake na ukorofi wake!
Ss huyu mpnz wa pili alinipenda sana na mm nikampnd pia ingawa pia n mbishi na mkorofi ila alinijali sana!alisafir May dc year akaenda Mwanza tukiwa wapnz ila akiwa Mwanza tuliachana kama mwez hv na mm nikaamua kuishi na yule nilie zaa nae maana niliona wanawake woote n sawa!ss yule wa Mwanza amerudi Arusha ila c kwa kukaa atarudi zake Mwanza next week,shida inakuja nampenda sana huyu wa Mwanza kuliko ninae ishi.nae,yaaan ninae ishi nae niko nae sababu ya mtt tu na c vngne nashindwa cha kuamua maana leo hii nimeonana na wa Mwanza na nikamueleza bado nampenda ingawa naishi na mwenzie.niko teyar kumuacha nilie nae ili niwe na yeye ila jibu ameshindwa kitoa nitakachofanya kwake sawa!
Ss naomba ushaur.jamani nimuache huyu ninae ishi nae sababu nimezaa nae.cmpnd sana niendae.kwa ambae cjazaa nae ila nampenda sana sana ingawa few days to come.atarudi.Mwanza!
Naomba ushaur wenu niko njia panda haswaaaa sielew kp.nafanya
 
umeoa huyo mama mtoto,
na ukiamua kumuacha mtoto wako atalelewa vp,
una uhakika huyo umpendaye naye atampenda mtoto wako ,
una uhakika mwanao atapata matunzo anayostahili
 
Yaan ndg hata sielew kp.nafanya akil yangu n kama imestack,nataman sana kumlea mwanangu ila pia ctak kuona nimpendae sana akimpenda au.kuna na mahusiano na mwanaume mwingine,yaaan dah just niambie.kwa uxoefu wa maisha lipi.nifanye,yupi niwe nae ili nicjutie mbele ua safar dats u nikalileta kwenu!
Kuoa wote cwex uwezo mdogo na wote wakorofi hawaivi chungu kimoja na pia cjawah panga kuoa wake wawili na sihtaj fanya.hvyo
 
Itisha kikao cha ukoo wajadili. Labda utapata suluhisho. Pole mwaya.
 
Unavomuacha huyo kwa ajili ya huyo mwingine, ndivo hivo nawe utakavoachwa kwa ajili ya mwingine!!!
Uamuzi upo kwako......
 
Oa wote kama unayaweza! Otherwise kaa na mamawatoto.

Its not advisable pia kuoa mtu only bcoz ana mtoto wako ,hata kama mapenzi hakuna , sometime love ni kamari so jilipue tu kwa kufata moyo wako ila kama hautaishi na mwenye mtoto mek sure mtoto anapata matunzo na haki zote za msingi,na hili ni asilimia 5 tu ya wanaume wanaweza kumaintain hili so jiandae pia kumfanya mtoto ajutie makosa yenu kwa kukosa mapenzi na matunzo
 
Ni mvulana mwenye umr wa 25 yrs,n ngumu kuelezea ila nilikua na mpnz niliyempenda sana tulianza uhusiano last year 2011,kabla.ya hapo nilikua na gf ambae nilizaa nae mtt wa kike mwenye umri wa 2 yrs now niliachana nae kutokana na ujeur wake na ukorofi wake!
Ss huyu mpnz wa pili alinipenda sana na mm nikampnd pia ingawa pia n mbishi na mkorofi ila alinijali sana!alisafir May dc year akaenda Mwanza tukiwa wapnz ila akiwa Mwanza tuliachana kama mwez hv na mm nikaamua kuishi na yule nilie zaa nae maana niliona wanawake woote n sawa!ss yule wa Mwanza amerudi Arusha ila c kwa kukaa atarudi zake Mwanza next week,shida inakuja nampenda sana huyu wa Mwanza kuliko ninae ishi.nae,yaaan ninae ishi nae niko nae sababu ya mtt tu na c vngne nashindwa cha kuamua maana leo hii nimeonana na wa Mwanza na nikamueleza bado nampenda ingawa naishi na mwenzie.niko teyar kumuacha nilie nae ili niwe na yeye ila jibu ameshindwa kitoa nitakachofanya kwake sawa!
Ss naomba ushaur.jamani nimuache huyu ninae ishi nae sababu nimezaa nae.cmpnd sana niendae.kwa ambae cjazaa nae ila nampenda sana sana ingawa few days to come.atarudi.Mwanza!
Naomba ushaur wenu niko njia panda haswaaaa sielew kp.nafanya

Mwanamalundiiii
Watu wako wanatuzingua hukuuu!
 
Jibu la tatizo lako unalo mwanangu. Tatizo lako ni tamaa. Hivyo suluhu ni kuacha tamaa. Unajichanganya mwenyewe. Hao wamama wakianza kukuchanganya utachanganyikiwa kweli. Hivyo hapa ushauri ninaoweza kukupa ni ukae chini uchague mmoja au waoe wote kama unaweza. Tamaa mbele mauti nyuma.
 
Shida ni hiyo chululu....,jibu unalo na uwe na ujasiri ktk kufanya maamuzi
 
Thnx all,im doing dc for my daughter!acha nilee mtt liwalo na liwe maana nikifanya langu mtt ataumia kwa kukosa matunzo bora
Thnx kwa ushaur wenu
 
bora kama umeamua hivyo,hivi hutujui wanawake?haujajiuliza kwann alikosa jibu ulipomwambia kua wampenda?unauhakika km huko mwanza hana mtu?what goes around comes around ndg yng,pia for the record love using your brain and not heart
 
Mmmh mpaka moyo umedunda,dah acha nilee mwanangu

Hangaika huku na kule, mwisho wa siku ni machozi na kamas vitakutoka....
Mapenzi yenyewe siku hizi ya kichina.............
fanya uwezavo urudishe mapenzi kwa mama wa mtoto wako!!!
 
Subiri ukue mkuu, unauliza na kujijibu halafu unaomba ushauri? andika majina kwenye karatasi urushe juu litakalotua la kwanza ndo mke wako maana inaonekana hujui ka kuna ukimwi
 
Binafsi nachukia sana hiyo tabia.
Umemkuta mdada wa watu chuchu saa sita baada ya kumzalisha na kuzishusha unaleta zako.
Halafu wajifikiria wewe tu hivi umeshakaa ukamuwazia huyo mtoto.
Embu chukua hatua haraka
 
We ndo kidume ni bora uwaowe wote ili kutendea haki nafsi yako yenye tamaa isiyoisha.
 
Ukipenda njigi utataka kuziita njege...
Hivi kwa nini watu hupenda tu kuzaa na mtu pasipo kupima upendo wao kwanza kwa watu hao???
Hivi kwa nini huwa hamtizami nafasi ya mtoto atakayezaliwa???
Mnatesa malaika wa Mungu bure kwa tamaa za ujanani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom