Anne Alexandre
New Member
- Dec 22, 2012
- 1
- 0
U just 2lia na huyo mzaz mwenzio mlee mtt wenu coz malez ya mama wa kambo c mazur xana ilihal mama mzaz yupo hai.... Dats ol bro
sikulaumu, ila namlaumu huyo dada aliyezaa na mtu asiye na msimamo na asiyempenda. tatizo hawa akina dada wezangu wanazaa kama wanyama hawaangalini ni lini anatkiwa kuzaa na anatakiwa kuzaa na nani. ogopa watoto kuwa na Father badala ya Dady.
Na mapenzi yalivyo unaempenda hakupendi, anaekupenda humpendi, huyo mzazi mwezako anakupenda ila wewe humpendi na huyo mwingine Unampenda ila kaa ukijua yeye hakupendi. Tafakari chukua Hatua