Naomba ushauri: Nimezaa na dada yangu

Naomba ushauri: Nimezaa na dada yangu

sijui sasa tushike au tuamini lipi....funguka mleta mada ni kama unachanganya mada.
 
A cha maneno yakipumbavu ungemwonea kinyaa ungempa mimba tafuta neno zuri nasio kusema kinyaaa

naona kinyaa baada ya kugundua ni dada yangu haa mgegedeo hausimami nikimgusa
 
Hahahahaha
Mkuu Wewe una sahau sana hebu wasome tyta na watu8 wamekukumbusha! Mkuu umesahau Jf ina tunza kumbukumbu?

mkuu huyu watu8 na Tyta wanaongea kwa kuhisi lakin ukweli ndio huo kwann nidanganye? Achen kuisemea nafsi ya mtu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha
Mkuu Wewe una sahau sana hebu wasome tyta na watu8 wamekukumbusha! Mkuu umesahau Jf ina tunza kumbukumbu?

mkuu huyu watu8 na Tyta wanaongea kwa kuhisi lakin ukweli ndio huo kwann nidanganye? Achen kuisemea nafsi ya mtu
 
Last edited by a moderator:
Usinichekeshe mie, mtu kakupa penzi muda woote hadi kakuzalia mtoto leo unasema unamuonea kinyaa, huna haya wewe, kinyaa kinatoka wapi na wakti alikuwa mpenzi wako, bora hata ungesema unamuonea aibu, eti unamuona kinyaa, babako alimuona kinyaa na wewe umeshaanza kumuona kinyaa, thats why mmevuna mlichopanda

Relaax mkuu, dont lose your energy kwenye fabricated story! Cheki comment ya watu8 na tyta......
 
Mkuu bado ile sredi ya vaisley banah...Ila jamaa ni msanii..Imagine watu wamekomaa na keypads wakimwaga maushauri...!

kofyakah..wewe jamaa punguza kamba banah..!

hii ni ukweli mtupu kaka siwez kuidanganya jamii kubwa kama hii halafu hyo ya vaislay staki unitibue ntakuibukia ukileta usenge ohooo!
 
Last edited by a moderator:
Habar ya mda huu wadau,

Moja kwa moja niende kwenye maada. Mkasa huu umenikumba nikiwa nafanya kazi mkoa flani kanda ya kati. Katika eneo ambalo nilikuwa naishi ni karibu na sehemu ambayo baba yangu alikuwa anafanyia kazi kabla ya kustaafu na kurudi nyumbani kwake namaanisha mkoa alikozaliwa yeye ambao upo kusini nyanda za juu.

Wakati baba anastaafu na kurudi mkoa aliozaliwa mimi na nikabaki mkoa huo huo aliokuwa anafanya kazi sikuweza kuhama naye kwasababu nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano .

Katika kipindi alichokuwa anafanya kazi kumbe alizaa nje ya ndoa na mwanamke mmoja lakini baba hakuweza kumhudumia yule mtoto kitendo ambacho kilimfanya mama mtoto asimweke karibu na baba.

Hata yeye baba hakuwahi kutuambia kuwa aliwahi kuzaa nje ya ndoa. Katka kipindi chote hicho mama huyo na mwanaye walikuwa wakiishi mbali kidogo na wilaya yetu.

Basi katika mizunguko ya kazi hapa na pale nilikutana na dada huyu ambaye ndiye nimezaa naye pasina kujua ni dada yangu. Tulikutana kwenye semina mkoani Kilimanjaro kama ilivyo kawaida ya wanaume nikamuaproach yule dada na akaingia line. Tukaanza kujihusisha kimapenzi kwa muda wa mwaka mzima mpaka alipopata ujauzito.

Ikanilazimu niukubali ule ujauzito na nikatafuta wazee wa mtaa ninaokaa na kwenda nyumbani kwa mwanamke ili kujitambulisha. Yule mama mkwe ambaye ni mama mdogo kihalali alipoona majina yangu matatu akapatwa na wasi wasi japo barua ilipokelewa.

Ikabidi akanitafuta kwa kuniuliza kiundani nilipojieleza ndipo akasema huyu uliyempa mimba ni dadayako tena wa damu.

Kwakweli niliishiwa nguvu akaanza kunisimulia kila kitu kuhusu baba yangu. Mpaka hapa ninapo andika mwanamke ameshajifungua na mtoto ana miezi 5.

Baba sijamwambia bado ila nataka nimpeleke huyu binti nyumban kwetu. Na hii siri naijua mimi na mama mkwe au mama mdogo.

Sijajua nifanyeje mama mwenyewe ameshindwa afanye nini, tunaogopa kuwashirikisha watu aibu.
huyu 7 5 mm ni mtunzi mzuri sana wa hadithi,kwa nini usiwe script writer?
 
Last edited by a moderator:
It does not make any damn sense!!
Habari ya uongo mkubwa 7 5 mm afungiwe na Mods kwa habari zake za uzushi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu watu8 huyu jamaa 7 5 mm pamoja na tumboo na umukagame hapa jamvini ni michosho tuu...mara waanzishe sredi kwa kutumia Id nyingine wajijibu kwa Id ya pili...mara waanzishe story za pumba...yan ni mchelemchele tu...Bora wewe unawakeep in mind siku wakizingua unawamwagia pumba zao kweupee...kamata like mkuu

ww unawashwa nn.
Ng'ombe kweli www
 
Last edited by a moderator:
hii ni ya kweli vp unaweza kunithibitishia ushahidi wowote kuwa huu ni uwongo

Wewe sio tu ni muongo bali unaweza ukawa hata na mental disorder!Mwezi jana umeandika hapa kuwa mkeo anapata raha yy tu kitandani!

Leo unatuambia umezaa na dada yako tena mtoto ana miezi 5!Iweje ushangae kwanza ya kutofurahia tendo la ndoa na mkeo ambaye dada yako lkn usishangae kuzaa na dada yako mwezi wa 5 sasa?

Mods watu kama hawa ndiyo wanaifanya MMU ionekane kama genge la wahuni!Tunashukuru sana watu8 na Tyta kuwaumbua waongo hapa!
 
Last edited by a moderator:
mi ndo wa kwanza nilikata tiketi kabla afu movie haijanoga itabidi mnilipe fidia nyie maadui mnaanzaje kumuandama sterling mwanzo mwanzo lol

halafu na nyinyi msinitibue kabisa mtanisababishia BAN bure .
Mm sio mwongo kama nyie nyau nyinyi
 
Back
Top Bottom