Naomba ushauri: Nimezaa na dada yangu

Naomba ushauri: Nimezaa na dada yangu

ww pusi nini? Kwan jf kunafaida yoyote hapa? Acha undez ww

Mkuu wangu 7 5 mm utawatukana wangapi hapa MMU wanao kereka na habari hizi za kutunga?Use just a common sense kutambua kuwa ulicho andika ni uzushi tu!Krudisha heshima yako hapa ni kuomba radhi tu usamehewe!

Matusi hayatakutoa wewe kwenye aibu hii bali radhi tu ndiyo itakuokoa!Tuombe radhi acha ubishi
 
Last edited by a moderator:

staki sasa
 
Last edited by a moderator:
staki sasa

Mkuu wangu kutokutuomba radhi haututendei haki members wenzako hapa na tutachukulia kama ni dharau kubwa umetuonyesha!

Ndiye huyu huyu mke wako ambaye pia ni dada yako mwezi uliopita alikuwa anastarehe yy tu kitandani tena akiwa na mtoto wa miezi 4 akizaa na ww kaka yake?

Ehehehehe mkuu tuomba radhi bana
 
nakwambia usinitibue ntakuibukia sasa hvi
 
nakwambia usinitibue ntakuibukia sasa hvi

Ndugu yangu 7 5 utatutishia wangapi hapa MMU?Cha kufanya ni kutuomba radhi tu ili andiko hili liondolewe kwenye hansard ya MMU!

Ukituomba radhi utakuwa umethibitisha kuwa uli fabricate habari hii sababu ya kupata ushauri mbaya toka kwa wenzako na nitawaomba washika dau wote wakusamehe na nina imani watakusamehe!!

Tunasubiri radhi yako kamanda
 
punga kweli ww niombe yanini? Kwan lazma ukoment? Kama umeona uwongo kaa kimya. Mbona unabwabwaja sana ww k nn
 
Habar ya mda huu wadau,

Moja kwa moja niende kwenye maada. Mkasa huu umenikumba nikiwa nafanya kazi mkoa flani kanda ya kati. Katika eneo ambalo nilikuwa naishi ni karibu na sehemu ambayo baba yangu alikuwa anafanyia kazi kabla ya kustaafu na kurudi nyumbani kwake namaanisha mkoa alikozaliwa yeye ambao upo kusini nyanda za juu.

Wakati baba anastaafu na kurudi mkoa aliozaliwa mimi na nikabaki mkoa huo huo aliokuwa anafanya kazi sikuweza kuhama naye kwasababu nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano .

Katika kipindi alichokuwa anafanya kazi kumbe alizaa nje ya ndoa na mwanamke mmoja lakini baba hakuweza kumhudumia yule mtoto kitendo ambacho kilimfanya mama mtoto asimweke karibu na baba.

Hata yeye baba hakuwahi kutuambia kuwa aliwahi kuzaa nje ya ndoa. Katka kipindi chote hicho mama huyo na mwanaye walikuwa wakiishi mbali kidogo na wilaya yetu.

Basi katika mizunguko ya kazi hapa na pale nilikutana na dada huyu ambaye ndiye nimezaa naye pasina kujua ni dada yangu. Tulikutana kwenye semina mkoani Kilimanjaro kama ilivyo kawaida ya wanaume nikamuaproach yule dada na akaingia line. Tukaanza kujihusisha kimapenzi kwa muda wa mwaka mzima mpaka alipopata ujauzito.

Ikanilazimu niukubali ule ujauzito na nikatafuta wazee wa mtaa ninaokaa na kwenda nyumbani kwa mwanamke ili kujitambulisha. Yule mama mkwe ambaye ni mama mdogo kihalali alipoona majina yangu matatu akapatwa na wasi wasi japo barua ilipokelewa.

Ikabidi akanitafuta kwa kuniuliza kiundani nilipojieleza ndipo akasema huyu uliyempa mimba ni dadayako tena wa damu.

Kwakweli niliishiwa nguvu akaanza kunisimulia kila kitu kuhusu baba yangu. Mpaka hapa ninapo andika mwanamke ameshajifungua na mtoto ana miezi 5.

Baba sijamwambia bado ila nataka nimpeleke huyu binti nyumban kwetu. Na hii siri naijua mimi na mama mkwe au mama mdogo.

Sijajua nifanyeje mama mwenyewe ameshindwa afanye nini, tunaogopa kuwashirikisha watu aibu.

It's not your fault but your father.

Tatizo lililoko kwako Umalaya wako umepelekea kupata mtoto nje ya NDOA. Kama ungefuata taratibu yasingetokea yote hayo. Ila pale tu ulipotaka kujitambulisha.

Kama usingefanya mapenzi nje ya ndoa yote hayo yasingetokea. Ila jifunze siku nyingine sio unabeba mizigo bila kuwa taarifa rasmi za muhusika.

Shame on U.
 
mumuwache mwenzenu!
si kashawaambia yeye ni 75mm
sa mnashindwa kuinkoveti tuu!
cc watu8 tayta
 
Last edited by a moderator:
punga kweli ww niombe yanini? Kwan lazma ukoment? Kama umeona uwongo kaa kimya. Mbona unabwabwaja sana ww k nn

Radhi inatakiwa mkuu ili tusifikishe suala hili kwenye kamati ya maadili ya MMU!Tusifikie huko na nina imani kabisa sasa umepoa,umegundua kosa lako,unajutia kosa lako na utatuomba radhi!

Kuomba radhi sio adhabu ni alama ya uwajibokaji kaka!Tunasubiri
 
punga kweli ww niombe yanini? Kwan lazma ukoment? Kama umeona uwongo kaa kimya. Mbona unabwabwaja sana ww k nn

Mkuu 7.5mm wenzako wanakuwa wanatumia different Id kwa story za kutunga.kama nia yako kuchangamsha jukwaa just use another ID
 
Mtani hebu tafuta pampaz, serelaki na madiko diko mengine tukakaone hako kachanga ka miezi mitano...

Usisahau na bebi shoo jirani

mumuwache mwenzenu!
si kashawaambia yeye ni 75mm
sa mnashindwa kuinkoveti tuu!
cc watu8 tayta
 
Mtani hebu tafuta pampaz, serelaki na madiko diko mengine tukakaone hako kachanga ka miezi mitano...

Usisahau na bebi shoo jirani
hiiiiiilo ndo ulikuwa umesahau kulisema toka jana!
ngoja nipite kwa halima toto,nkanunue beseni kabisa!na bebi woka!
Khantwe si utatusindikiza?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom