Naomba ushauri nichukue king'amuzi gani kati ya DStv, Startimes na Azam TV

#Mzimu wa kolelo
Vp hiyo startimes chanel zikoje? Naomba unitajie angalau 10 best chanels
STARTIMES UPUUZI SANA najuta why nlinunua *****... Yani ufala sanaa kuna channel za maana kama NGW E hazipo na Clouds pia ambazo ni channel pendwa na bei zao kupata documentary channel gharama japo uzuri pesa ikiisha at least unaona ITV..TBC..Eatv na Safari but Azam wapo vizuri sana ingekuwa sina Star times ningechukua azam but now nkiwa vizuri ntaongeza DSTV tu ni nzuri sana mambo ya movies..mpira na docume channel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi zinaenda kulingana na kipato chako... sie wa kipato cha chini tunatumia Startimes, kipato cha kati Azam na kipato cha juu DSTV.

Uzoefu huku startimes kuna bundle ya tsh. Kuanzia tsh. 14000 kwa mwezi hadi 28000.. inategemea unahitaji channel zipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo akili yako tope ndio inakuelekeza huko?
Star times kinatumiwa na waomi kuangalia BBC, AL JAAZERA, CGTN , wasio soma kabisa wana AZAM kuangali michezo na miziki maana wanapata faraja kwa burudani huku makampuni maofisi na taasisi nyingi zikitumia DSTV ili kuwek a watu busy mfano mabenk etc
 
Wapendwa mnaotumia aina hizo za ving'amzi, kwetu ndo umeme umeingia, naomba ushauri nichukie kingamzi kipi?

Naomba kufahamishwa bei ya kununua kingamzi husika (dish+decoder), local chanels zinazopatikana hasa kwa DSTV na bei ya vifurushi kwa mwezi.

Asanteni.
Chukua azam mie natumia Startime changamoto haina clouds azam azam lakini ina Chanel utv Habari sambili huwa na enjoy sana nikienda bar kutizama,jingine ligi ya ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hv kwa mfano ukiacha AZAM kuonyesha ligi kuu kuna vitu gani vya ziada ambavyo startime hakuna na huwezi kupata kwingne tofauti na AZAM nikimaanisha station ambayo ina vitu vya kipekee ambavyo ni impact kubwa
nasema hvyo 7bu mm situmii kingamuzi chochote tajwa hapo
Tv yangu ina DTV natumia LNB na dish kubwa lile la kuchimba ardhini nimefunga zaidi ya miaka 4 sasa almost napata tv zote muhimu za nje ambazo azam wanazo na startime wanazo na bongo mapata TV zote local na kuna receiver niliwahi funga mpk zile za kulipia nilikua napata sema watu wakija home maswari mengi unapataje hizi mbna kingamuzi huna nikaona isiwe shida niachane nacho mana binadamu hawana dogo mambo yenyewe ya mipango
sasa mchepuko(mkemdogomtarajiwa) unasumbua unasumbua unataka TV flat sasa mm nilitaka atumie digital tv lkn naona sio km mm hawa wale wa Season zilizotafsliwa kiswahiri hvyo Azam au startime ndi saizi yake mana mm kwenye tv napenda kuangalia AL-JAZEERA tu basi mambo mengne yote namaliza kwenye PC au Simu

sasa mnaosifia AZAM kuna nini cha ziada ambacho STARTIME hawana ukiachana na ligikuu TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaongelea decoder ya alpha box ...ndio inauwezo wa kufungua hata channel ambazo za kulipia

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom