Naomba ushauri kilimo cha mahindi maeneo ya Bagamoyo/ Msata

Newmoney

Member
May 1, 2015
17
2
Habari ya muda huu wadau,

Nafikiria kuanza kilimo cha mahindi ili kuangalia upande mwingine wa fursa za kutika kimaisha. Nimepanga kutafuta mashamba maeneo ya Bagamoyo au Msata kwa ajili ya kilimo cha mahindi. Naomba ushauri juu ya haya:

a) Aina ya mbegu ambazo ni nzuri kupanda kwa maeneo hayo
b) Muda muafaka wa kuandaa na kupanda mbegu
c) Nimepanga kutafuta shamba ambalo halijawahi kutumika (pori) je itahitaji mbolea? Na mbolea ipi itakua nzuri.
d) Mambo yote muhimu ya kuzingatia wakati wa kulima

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu fika kilingeni kwa Mshana Jr atakupatia ufumbuzi wa shida yako japo ni mbobezi wa masuala ya Kilingeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom