STATUS ZA WAZUNGU kwenye Whatsapp vere vere kliaaa...
I'm sick,,
I'm at movie,,
I'm in a meeting2
I'm kind of happy,, I busy,,
I'm available
I'm Driving
I'm sleeping
STATUS ZA WABONGO SASA MBUTA NANGA MBOMBO NGAFU
-"Akutake nani una shepu la Kitorondo utaishia kumegwa na kuachwa
-"Watu tuna nyota za Chips Mayai sio wewe mwenye Nyota ya Punda,halulaaa"
-I Kantangazeee ndo Kwanza naanza na ntakukomesha Mwanaharamu we!
-I love yu so much ur my only one,No one lyk yu and I mean it Yu ma numba1 ma sweet sweet namba1 roho yangu mama,,
-Asante vimenitoshaaa tena kama ulijua
-I unajifanya simba kumbe nyau mimi ndo maji kama hujanioga utaninywaa,,,
-poleee jaman utapona wangu,,,
-I utalijua jiji na chuki zako waringia na kalio wakati hadi nyani analo kitu sura dada...
-usinisemeshe usiniongeleshe tena utaniambia vizur ulikuwa wapi..
-mdomo kaumbiwa mwanadamu ongeeni nyie me sijali ya wanafiki nafanya yangu huna hadhi ya kujibiwa na mimi.