ha ha ha hawajui D4 wamekariri engine ndogo mafuta kidogo..Jaribuni hata ku Google muone hiyo engine ni new technology kwa hiyo hata hizo cc zisikupe tabu. Ipo toyota crown cc 3000 inakwenda km 13 per litre.
ha ha ha hawajui D4 wamekariri engine ndogo mafuta kidogo..Jaribuni hata ku Google muone hiyo engine ni new technology kwa hiyo hata hizo cc zisikupe tabu. Ipo toyota crown cc 3000 inakwenda km 13 per litre.
Sawa mkuu 1lt per 12 kms mbona inakula vizuri sana ?mi nilijua 1lt per 7kmMhh cjui hiyo ya cc3000 mi ninayo ya 2500 cc IPO poa na wese ni 1litr per 12kms
Ni gari zuri na luxurious ile mbayaa...
Nimetumia Brevis 2500cc kwa miaka mitatu mfululizo kipindi fulani. Nimefanya safari ndefu nyingi tu, sijawahi kupata hiyo 12km/l, sijawahi. Ni mara chache sana nimewaza kufikisha 10points km/l; na hapo nimeendesha kiuchumi sana; spidi kati ya 90-120km/hr na mara chache sana inafika 130-140km/hr. RPM nahakikisha muda mwingi inakua chini ya 3,500, pia nahakikisha slow take-offs. Gari ipo full serviced na hapo ni kwenye barabara nzuri (Dar-Arusha). Pamoja na kufanya hivyo sijawahi kufikisha 12km/l. Hata wakati naanza kuitumia ikiwa na 44,000km (almost new kwa standards zetu) bado haikufikisha 12km/l.Mhh cjui hiyo ya cc3000 mi ninayo ya 2500 cc IPO poa na wese ni 1litr per 12kms
Ni gari zuri na luxurious ile mbayaa...
Ni kwamba kama ameshainunua ikamliza hakuna option zaidi ya kukubali maumivu tuu kwa kuisifia.Nimetumia Brevis 2500cc kwa miaka mitatu mfululizo kipindi fulani. Nimefanya safari ndefu nyingi tu, sijawahi kupata hiyo 12km/l, sijawahi. Ni mara chache sana nimewaza kufikisha 10points km/l; na hapo nimeendesha kiuchumi sana; spidi kati ya 90-120km/hr na mara chache sana inafika 130-140km/hr. RPM nahakikisha muda mwingi inakua chini ya 3,500, pia nahakikisha slow take-offs. Gari ipo full serviced na hapo ni kwenye barabara nzuri (Dar-Arusha). Pamoja na kufanya hivyo sijawahi kufikisha 12km/l. Hata wakati naanza kuitumia ikiwa na 44,000km (almost new kwa standards zetu) bado haikufikisha 12km/l.
Sikubishii kwa record yako hiyo, lakini (kwa ninavyojua swaga za watu wa JF) ninakua mashaka nayo saaana.
Huwezi kwenda 12kms/1Ltr na Brevis hata ya 2490cc bwashee....USIPOTOSHE.Unasema kamwe huwezi kubali halafu chini unakiri labda iwe safarini ila sio kwenye foleni sasa maana ya kunywa mafuta nini?
Umejuaje Kama natumia safarini au kwenye foleni? Hizo conclusion mnazifikia vipi maana hata aliyenipinga hajui hiyo brevis naitumia wapi...