Naomba ushauri kwa wanaoielewa Toyota Brevis

Naomba ushauri kwa wanaoielewa Toyota Brevis

nimesoma mahali hio brevis inatumia 8.8L/100KM.....very impressive. lakini mnachotakiwa kujua ni kuwa hao wajapan na watengeneza magari wengi wanapima hio fuel consumption by driving perfectly! kwa uendeshaji wa dereva wa kawaida[achilia mbali anaekamua aisikie mashine] ni ngumu sana kupata hizo km/lita....ukijitahidi sana utapata 7km per lita....ila on paper it does 11km per litre.

cc: lusungo

Mkuu inategemea kwenye safari unaweza kupata mimi nimejaribu hilo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu inategemea kwenye safari unaweza kupata mimi nimejaribu hilo.

kwani nimekataa? nimesema kupata hizo ni sehemu perfect na ndio wanapofanya test zao,safari ni moja ya sehemu unapoweza kupata high km/lt....unaweza hata kupata 13-15 ukitega vizuri.
 
kwani nimekataa? nimesema kupata hizo ni sehemu perfect na ndio wanapofanya test zao,safari ni moja ya sehemu unapoweza kupata high km/lt....unaweza hata kupata 13-15 ukitega vizuri.

ujue unaweza hata ukawa safarini na kamwe usizipate hizo na kuna mtu akawa anaiendesha kwenye foleni na ulaji wa mafuta ukawa powa sana tatizo ni ukoseaji wa uendeshaji.
 
Nzuro sana ila uwe na uhakika wa kipato chako maana sheli lazima ihusike sana mafuta inakunywa

wewe unataka inywe supu? gari yake mafuta, Goldman nunua gari, brevis gari ya kawaida sana we nunua achana na maneno ya watu wanaoogopa hata cc2000 wanataka starlet, ukitaka vichwa vya watu vikusaidie kufikiria hautanunua kitu cha maana.
 
Last edited by a moderator:
wewe unataka inywe supu? gari yake mafuta, Goldman nunua gari, brevis gari ya kawaida sana we nunua achana na maneno ya watu wanaoogopa hata cc2000 wanataka starlet, ukitaka vichwa vya watu vikusaidie kufikiria hautanunua kitu cha maana.

Mpwa sijasema kua halifai ni nzr na ninayo ila sio kua inywe supu wese kaka inakula kikubwa awe mpambanaji bila hivyo litakua mzigo kwake
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Labda tuanze kampeni.....anaetaka jukwaa special LA magari aweke like kwenye hii post,zikifika like 100 Invisible please tuwekee jukwaa LA magari

Cc: OLESAIDIMU Kaizer MANI Preta lusungo chachaKisiri Ukwaju @Mkiv Brakelyn grafani11 mshanajr Pasco

Baadhi ya Hoja zitakazokuwa na sticky kabisa ni kama

1. suala zima la defensive driving
2.What to do unapokamatwa na traffic
3. Uzoefuwa uendeshaji kwenye highway
4. Gereji mujarabu kwa aina kwa aina za magari
5.MAfundi wazuri/specialists wa matatizo fulani ya magari ambayo mafundiw a kawaida hawawezi
6.Tips za ununuzi wa matairi na utunzaji wake
7. Ushauri kuhusu ununuzi wa aina fulani ya gari (kama huu uzi)
8.Ununuzi na uuzaji wa magari (specific for cars only)
9. Kunaweza kuwa na subthread za wamiliki wa aina fulani za magari, mfano RRONDO na wenzake wanaomiliki BMW, GRAffani na wenzie wanaomiliki Harrier Lexus, huyu getleman hapa na wenzake wa Brevis, wale wa Vitz haya, Wa Gx 110 haya, wa IST haya, wa Nissan haya, wa Malandcruiser haya, wa Amarok (Preta) haya, wa Benz twende, wa Subaru....ili mradi kutakuwa na club fulani fulani za watu na magari yao.
10. Namna/ wakati/sehemu nzuri za kufanyia service nk.

Au mnaonaje wakuu
 
Last edited by a moderator:
Baadhi ya Hoja zitakazokuwa na sticky kabisa ni kama

1. suala zima la defensive driving
2.What to do unapokamatwa na traffic
3. Uzoefuwa uendeshaji kwenye highway
4. Gereji mujarabu kwa aina kwa aina za magari
5.MAfundi wazuri/specialists wa matatizo fulani ya magari ambayo mafundiw a kawaida hawawezi
6.Tips za ununuzi wa matairi na utunzaji wake
7. Ushauri kuhusu ununuzi wa aina fulani ya gari (kama huu uzi)
8.Ununuzi na uuzaji wa magari (specific for cars only)
9. Kunaweza kuwa na subthread za wamiliki wa aina fulani za magari, mfano RRONDO na wenzake wanaomiliki BMW, GRAffani na wenzie wanaomiliki Harrier Lexus, huyu getleman hapa na wenzake wa Brevis, wale wa Vitz haya, Wa Gx 110 haya, wa IST haya, wa Nissan haya, wa Malandcruiser haya, wa Amarok (@Preta) haya, wa Benz twende, wa Subaru....ili mradi kutakuwa na club fulani fulani za watu na magari yao.
10. Namna/ wakati/sehemu nzuri za kufanyia service nk.

Au mnaonaje wakuu

Mpangilio wako nimeukubali....hii itasaidia wengi sana
 
Halafu kwenye safari ndefu mwenye vitz ndio anaumia zaidi kwenye mafuta maana inabidi akamue sana ili gari ikimbie utakuta rpm zaidi ya 5000.

Vits, spacio, march etc, iz nzur kwa safar za town humu humu kwa mzee makamba.

safari ya km nying utalia sana, azifai... km nying utafuraia na za 6valves.
 
Last edited by a moderator:
Labda tuanze kampeni.....anaetaka jukwaa special LA magari aweke like kwenye hii post,zikifika like 100 Invisible please tuwekee jukwaa LA magari
Cc: OLESAIDIMU Kaizer MANI Preta lusungo chachaKisiri Ukwaju @Mkiv Brakelyn grafani11 mshanajr Pasco uyui kwetu G.Jacob Bulldog
RRONDO unachosema ni kweli kabisa hili gari la Brevis halifai kwa matumizi ya kawaida labda kwa starehe maana lina injini kubwa na linabwia mafuta zaidi ya GX 110
Lita 1 linakula mpaka 9km -13km
Toyota Brevis Ai250 2.5 (petrol, 2001)8.8 l/100km / 26.82 mpg
Toyota Brevis Ai250 2.5 (200 hp, petrol, 2001) - Fuel consumption - extra urban
napenda nimwambie lusungo na Rene Jr.
  • kusogea / kwenda kwa gari (velocity) kunategemea uzito wake na ndio linapokula mafuta
  • uzito wa gari (Mass) kuliondoa (Horsepower) inahitajika sana kwani Virtz ya 990cc hafiki uzito wa Tani moja wakati Brevis inakaribia 3 kwa hivyo Phyisics O' Level f-III Newton's 2nd Law of Motion ina-apply Force = Mass x acceleration ("The force acting on an object is equal to the mass of that object times its acceleration.") kwa hiyo mafuta Brevis llitakomba hasa kuliko Vitz

•Models that Meet the 2010 Fuel Efficiency Standards among FY2002 New Models and Those that Underwent Complete Redesign
[TABLE="width: 520"]
[TR="bgcolor: #5273B5"]
[TD="width: 85"]Weight category
(Vehicle weight)
[/TD]
[TD="width: 85"]Fuel efficiency
standard (km/L)
[/TD]
[TD="width: 85"]FY2002 average
fuel efficiency
[/TD]
[TD="width: 265"]Qualifying vehicle series of FY2002 new models and those that underwent complete redesign[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 85, align: center"]703 - 827[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #E6E6E6, align: center"]18.8[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #ABDC3B, align: center"]22.4[/TD]
[TD="width: 265, align: center"]-[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 85, align: center"]828 - 1,015[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #E6E6E6, align: center"]17.9[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #ABDC3B, align: center"]18.5[/TD]
[TD="width: 265"]ist, WiLL CYPHA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 85, align: center"]1,016 - 1,265[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #E6E6E6, align: center"]16.0[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #ABDC3B, align: center"]16.1[/TD]
[TD="width: 265"]ist,* Probox Wagon*[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 85, align: center"]1,266 - 1,515[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #E6E6E6, align: center"]13.0[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #ABDC3B, align: center"]13.1[/TD]
[TD="width: 265"]Caldina, WISH,* Crown Sedan with mild hybrid system[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 85, align: center"]1,516 - 1,765[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #E6E6E6, align: center"]10.5[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #ABDC3B, align: center"]11.0[/TD]
[TD="width: 265"]Harrier*[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 85, align: center"]1,766 - 2,015[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #E6E6E6, align: center"]8.9[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #ABDC3B, align: center"]9.1[/TD]
[TD="width: 265"]Alphard,* Harrier[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 85, align: center"]2,016 - 2,265[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #E6E6E6, align: center"]7.8[/TD]
[TD="width: 85, align: center"]7.8[/TD]
[TD="width: 265"]Alphard, Land Cruiser Prado[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 85, align: center"]2,266 -[/TD]
[TD="width: 85, bgcolor: #E6E6E6, align: center"]6.4[/TD]
[TD="width: 85, align: center"]6.3[/TD]
[TD="width: 265, align: center"]-[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
*Some of the qualifying vehicle series may not meet the standards depending on models and specifications
*
image11.gif
indicates a category that has achieved the 2010 Fuel Efficiency Standards
Vitz with AT Idling Stop System
[TABLE="width: 520"]
[TR]
[TD="width: 250"]Toyota installed the Toyota Intelligent Idling Stop System, which utilizes hybrid technologies, in the CVT[SUP]4[/SUP] version of the Vitz. Using a lithium-ion battery, the car's engine is automatically put into the idling stop state when the car comes to a stop, and is subsequently smoothly restarted. As a result, this version of the Vitz has achieved a fuel efficiency level of 25.5km/L (an 8.5% improvement over the previous version), the highest in Japan, excluding minivehicles and hybrid vehicles.
4. CVT: Continuously Variable Transmission Development and Design
[/TD]
[TD="width: 20"] [/TD]
[TD="width: 250"]
image09.jpg

Vitz
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Vitz 1.0L (1KR-FE engine block) Milage
15-16 km/l in city without AC
18-19 km/l on highway without AC

AC can bring down avge 2 km/l so it will be 13-14 for city and 16-17 for highway...
so guyz if u are getting below than this than do get ur ride checked/tuned...
 
Baadhi ya Hoja zitakazokuwa na sticky kabisa ni kama

1. suala zima la defensive driving
2.What to do unapokamatwa na traffic
3. Uzoefuwa uendeshaji kwenye highway
4. Gereji mujarabu kwa aina kwa aina za magari
5.MAfundi wazuri/specialists wa matatizo fulani ya magari ambayo mafundiw a kawaida hawawezi
6.Tips za ununuzi wa matairi na utunzaji wake
7. Ushauri kuhusu ununuzi wa aina fulani ya gari (kama huu uzi)
8.Ununuzi na uuzaji wa magari (specific for cars only)
9. Kunaweza kuwa na subthread za wamiliki wa aina fulani za magari, mfano RRONDO na wenzake wanaomiliki BMW, GRAffani na wenzie wanaomiliki Harrier Lexus, huyu getleman hapa na wenzake wa Brevis, wale wa Vitz haya, Wa Gx 110 haya, wa IST haya, wa Nissan haya, wa Malandcruiser haya, wa Amarok (@Preta) haya, wa Benz twende, wa Subaru....ili mradi kutakuwa na club fulani fulani za watu na magari yao.
10. Namna/ wakati/sehemu nzuri za kufanyia service nk.
Au mnaonaje wakuu
Kaizer hapo #8 nimepapenda kwani km Member wa JF tunaweza kweli habarishana magari yanakopatikana kuliko kupitia Matangazo madogomadogo
Mfano huko Dodoma
kuna magari yanafika bei nzuri kuliko Dar hasa kwa hawa Ma-Lecture wa kike na wale wa wabunge walionunuliwa mikoko Injini ikishazungusha mkono, au cyider-head gasket kuungua anaiuza kwani kupata ingine ni rahisi, kuna siku gari ilifika 2.5m kutoka 4.0m na inatembea zipo Corolla za 3m Nadia nk
Pia huko kwingine km hata Dar Gari Noah 5.5m inakuwa rahisi nikimPM member akaihakikishe kweli anatembea au wamefunga sheems na huenda zikawa nzima kabisa kwa kupitia Jukwaa hili tukasaidiana
 
Back
Top Bottom