- Thread starter
- #21
Bonge,issue sio kurudisha hela,hapa natafuta faida,angalau ipunguze makato ya loan.Njoo tufanye joint venture. Nina nyumba zinahitaji finishing tuu 22 mil unamalizia unapangisha mpaka urudishe fedha zako!

Ndio maana yangu upate faida ya fedha yako ni makubaluano tuu ya kisheria. Kwa kukadiria unatakiwa urudishe shs ngapi kila mwezi?Bonge,issue sio kurudisha hela,hapa natafuta faida,angalau ipunguze makato ya loan.