Habari wana jf,
Ni msomaji wa muda mrefu wa jukwaa hili pendwa lkn sijawahi weka bandiko,.
Leo naomba ushauri kutoka kwenu.Nina pesa kama 22m.Kiasi nimechukua Mkopo na kiasi kingine kutoka kwe vyanzo vyangu binafsi.Sasa nataka kujenga room sita ili niweke wapangaji.
Site IPO Dar nje kidogo ya mji.Je wenye ujuzi,wa kukadiria,hivi nawezamaliza nyumba mpaka level ya kuingiza mpangaji kwa 22ml?
Ushauri wenu ni muhimu sana.