Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

Naombeni ushauri walimwengu

  • Argue or react

    Votes: 3 75.0%
  • Choose whatever

    Votes: 1 25.0%

  • Total voters
    4
Sahihi na vipi kuhusu kupeleka vitu kama vifaa vya usafi na vitambaa?
 
Kwamba niwakataze kuja ofisini?
Uwakataze kuja ofisini kutoa shukurani. Hiyo ni gia ya kuangalia kama kweli unatoa kulingana na ulichonacho, au kukufanya uendeelee kutoa. Au waambie mnakuja hapa mnajuaje kama ni mie? Basi naomba kwa sababu sijatoa kwa tarumbeta, msinishukuru kwa tarumbeta, maana huenda sio mimi nilietoa.

Labda una enjoy visits zao zinakufanya uwe na bichwa kubwa
 
Hicho ndio kitu kimenifanya niwaze sana kwa maana kwamba sijapenda wanavokuja.
 
Sadaka ni wizi na utapeli.

Kanisa ni kichaka cha wizi.

Dini ni utapeli.

HAKUNA MUNGU

Linda kibunda chako.

Pesa ngumu.
Kikubwa mimi mwenyewe ni shuhuda wacha nishududie,

Nilikuwa siamini kama hivo ila nikajichanganya kukufuru mara kadhaa na kila nilipokufuru tu! Kilinilamba 😁 kwaio me ntaendelea kumuamini tu.
 
Huko mitaani watu kibao wanahitaji misaada.Na upunguze kujitapa dogo😎,kulikuwa na umuhimu gani wa kuandika nyuzi kama hii?
Au ndi kila mwanaJF ni doni😂😂😂



N.B.Skupingi kwenda kanisani.
 
Kikubwa mimi mwenyewe ni shuhuda wacha nishududie,

Nilikiwa siamini kama hivo ila nikajichanganya kukufuru mara kadhaa na kila nilipokufuru tu! Kilinilamba 😁 kwaio me ntaendelea kumuamini tu.
Sasa endelela kutoa sadaka kila upatapo pesa na mali, toa vyote kabisa peleka kanisani.

Na usije huku kuomba ushauri.
 
Sasa endelela kutoa sadaka kila upatapo pesa na mali, toa vyote kabisa peleka kanisani.

Na usije huku kuomba ushauri.
Kitu nimejifunza ni kwamba, kutengeneza na kuboresha mahali ambapo wanafanyia ibada na kutoa sadaka watu, ni mojawapo ya sadaka mkuu. Sijapeleka pesa cash, sabuni au ndizi.

Nimepeleka vitu vya ujenzi maana shuhuli za ujenzi zinaendelea.

Je, nitakuwa sawa hata kidogo kabla sijaacha kupeleka ?
Sir mgax
 
Wajichange wao ndio waboreshe. Sio kukutegemea wewe mtu mmoja.

Naku hakikishia siku ukiyumba kiuchumi na unahitaji msaada mkubwa wa kifedha, utaishia kupewa pole, maombi uchwara na visenti kidogo vya kununua maji.

Hizo hela unazopeleka kanisani, wekeza.

Au kama unapenda kutoa, bora uende vituo vya watoto yatima. Uwape.

Sio kuwapa msaada wajinga watu wazima ambao kazi hawafanyi. Wanategemea miujiza ya huyo Mungu wa kusadikika kwa kukesha huko kanisani.

Amka kijana.
 
Wewe nenda
Kufahamika siyo vibaya ata Mungu pia uwa anapenda kuwatangaza watu kwa njia mbalimbali

Akikisha kila jumapili unaenda kanisani kusali pamoja nao
&
Then toa sawasawa na moyo wako utakavyo kuongoza.
Be blessed.
 
Wewe nenda

Kufahamika siyo vibaya ata Mungu pia uwa anapenda kuwatangaza watu kwa njia mbalimbali

Akikisha kila jumapili unaenda kanisani kusali pamoja nao
&
Then toa sawasawa na moyo wako utakavyo kuongoza.
Be blessed.
Hivi ni kwanini Jesus alipokuwa akitenda alikataza watu & wanafunzi wasimwambie yeyote?
 
umewahi kwenda hospital au nyumba za walemavu na watoto yatima?,....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…