Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,073
- 1,576
Maswali muhimu;Habr wana JM, ndgu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.
Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu bado sijaariwa na serikali nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu
1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.
2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?
Nipeni mawazo ndgu zangu.
- Umesoma digrii gani ya ualimu?
- Masomo ya kufundishia ni yapi?
- Una GPA ya ngapi undergraduate?