Naomba ushauri kuhusu kuoa

Naomba ushauri kuhusu kuoa

Mmmmh mbona wakinga wabena weng sana dar?hata mm mkinga ila siwez kuolewa na watu wa nyumban kama ww..hamjiamin kama hv.roho gwadu ya kujiwazia nyie tu.na ubahili..lakn kwakua kipo mnachokitafuta endeleen

Na mtazd kua na late marriage na wakinga/bena jina.muumizwe had mseme ndoa siyo kabila ni tabia ya mtu

Afu mna niboa ooh nta oa mwaka huu huu

Njoo jumapil hotel ya kibadamo sa saba mchana kuna mkutano wa wakinga na wote wenye asili ya makete/njombe uone kama kupata mke ni kama kununua line ya sm

Yaan ume niboa.cjui pepo gan limewakata kaka zangu wa njombe..wewe ni mtu wa saba sasa.na weng wenu ni 30 n above na niwasomi na bado mna pelekeshwa na kasumba ya kuoa wa nyumban ndo ndoa itakua salama.
...nime panic
 
Ukioa kwenu kuna benefits unapata.syo muhaya wa kagera unaoa mmakonde wa ruvuma.
Oa kwenu kama chance unayo.
Usiende huko tanga usije tolewa msukule huko syo kuzuri.
Nenda kuoa maeneo ambayo una feel secured
Psychologicaly.
Wanaume wengi huwa wanaoa makabila yao,few huwa wanaoa hawo wengine na ukichunguza mi mapenz yamewapeleka but in yr case umeonesha msimamo mbele ya mapenz then combine love & attributes za mke umtakae kufanya maamuz sahihi.
Usikubal mapenz kuwa kichwan kwako but ww kuwa juu ya kichwa cha mapenzi bcs kupenda sana kuna hasara kubwa pia n very risky investment.
 
'ubunkinga ndili nkinga lakini ni boni town' usipoteze mda kusaka hapa mjini wakinga nenda kwenu kaa mwezi mzima saka mke utapata
 
ni ngumu sana kuona ndoa ya kihaya imevunjika... sababu wanaoana wao kwa wao zaidi ya 80%. ngumu sana mhaya kuoa nje ya kagera.

mila nyingi sana za ki africa igbo anaoa igbo, masai anaoa masai, kikuyu anaoa kikuyu,

hii kuchanganya changanya hii imetuletea drama nyingi sana.. huu ni ukweli mchungu.

ni ngumu sana kukutana na asili yako nowdays na mkapendana.. japokuwa hiyo ndio best choice

hata dangote ameoa kwao, dewji kaoa asili yake, gsm, rostam, mafuruki wote wameoa asili yao..

uzinzi tu wa mzee machache umemgombanisha na mchaga mwenzake na kuoa kabinti kasyaka.

ila serious ndoa zile za miaka 100 ni za asili moja.

kama unabisha chunguza matajiri wengi wa africa wenye ndoa zilizodumu wake zao ni asili gani..

hata ukichikua matajiri 100 wa tanzania tu hapa karibu wote wake zao ni asili yao.. hata davis mosha na mashauz yote kaoa kwao na ana stable family
 
Hapa Jf ukiomba ushauri watu wanakuja kuhitimisha kuwa ni ukabila
Nashukuru kwa wale walionishauri kwa nia njema,nachanganya na mawazo yangu nitajua cha kufanya
 
Back
Top Bottom