Kaka maasai
Member
- Jul 26, 2026
- 68
- 159
Bado tuh nauguza majeraha.maasai nilidanganywa na shepu nikakutana na mkibosho. penzi lilishamir ila mazoea yalipozidi akaanza dharau na matusi.mim nikamwonyesha ubabe wakimaasai. ila matokeo yake alinimwagia chai moto niliungua vibaya sana.naye kuona yale akakimbia huku akinibia lak 2 pamoja na simu. kiukwel siwez dhubutu kuoa ama kuwa na mpenz kweny kabila lingin tofaut na maasai.