Naomba ushauri kuhusu kuoa

Naomba ushauri kuhusu kuoa

INASIKITISHA SANA
yaan nyinyi ndio mnaowaharibu wa KINADADA mioyo yao mwishowe wanakuwa wakatili kwa wanaume araf baadae mnakuja kujalamika oooh mademu wa sasa wanazingua hapo umri ushasonga unaikimbiza 40y bila hata mtoto wa kusingiziwa ndo mnaanza kulalamika baada ya hiyo ya kutaka wa KWENU
7bu hapo mwenzako anajua kuwa ataolewa na wewe kumbe wewe una mpango nae kbsa ila unampa imani kumbe unamtaka mbena sijui mkinga mwenzako wala una mpango na huyo MDIGO
sasa ikatokea ukamuaacha akakutana na wanaume wawili tena wenye tabia kama zako si anapoteza hata hio morali ya ndoa mwishowe unawaharibia wenye nia ya kweri wakimtokea anahisi ni walewale tu
badilika ndugu Kuwa mkwelii
km MSICHANA huna mpango nae mchane tu kuwa mpo kwa PART TIME
sio unampa imani ya ndoa kumbe una mpango naye inakuwa inawaumiza sana mioyoni mwao mpaka kiasi inajenga KUTU
km unamtaka mbena sijui mkinga nenda kwenu njombe au KARIAKOO
acha kuwapotezea muda wadada wa wenzio
araf hiyo chaguachagua sanaa mwishowe utapata KOLOMA araf ukome
Neno araf ndo mini
 
ndoa ni maelewano tu na kumtanguliza Mungu. haijalishi ni kabila gani. ingekuwa hvo basi watu wa njombe ndoa kusingekuwa na walioachika
 
Nyie watu bana Mungu awasaidie tu
Unampa moyo wa kinafiki mtanga wa watu at the end of the day unamuachia maumivu, shame on u
 
Hakuna kitu nisichokipenda na ku hate kama kupotezewa muda .. Let me tell my hubby to be kuwa I want to marry mwanaume atokaye mkoani kwangu .( kama atakubali ) ... Haahaaaa. Honestly ingekuwa Makabila moja ndio yana make Ndoa kudumu or Kuwa Imara .. I would probably be the first person to marry my own tribe . Dear stop lying of your self and that sister of mine .. Ndoa hujengwa na Mungu , plus two people , husband & wife .. Since now Moyo haupo hapo kwa my sister , leave her alone , Andthen go uko kwenu unakoaamini mke mwema wako yupo . I feel so sorry for her.. Please I beg usiendelee kupoteza muda wake .. . Thanks ..
 
wakati wenzako tukioa wife materials[wanawake wanaofaa kua wake] wewe unapambana kuoa kabila. usijisumbue kwenda njombe, we pita pita mitaa ya kimboka ama sinza mori kati ya wale wadada kuna wabena na wakinga lukuki. utakomboa muda, nauli na usumbufu wa kwenda njombe!
 
Habari Jf
Mimi ni kijana wa miaka 29,,kulingana na umri natakiwa kuoa na ukweli ni kwamba nimechelewa.
Napenda pia nilipanga kuwa nitaoa mke ambaye ni mzawa wa mkoa wangu wa Njombe(Mkinga au Mbena),mimi ni Mkinga.
Tatizo ni kwamba mimi naishi Dar es Salaam hivyo imekuwa vigumu kuonana au kufahamiana na wasichana wa kabila langu,lakini naamini waliopata wanawake wa nyumbani ndoa zao zimedumu kuliko walio oa makabila ya mikoa mingine.
Nimekuwa na mahusiano na wasichana wa mikoa tofauti na nimependwa na wamekuwa tayari kuolewa ila mimi ni mwoga kuoa makabila yaliyo nje na mkoa wa Njombe
Hadi muda huu naandika hii post nina uhusiano na msichana mzawa wa Tanga.Ni mtumishi wa umma kama mimi
Yeye yuko tayari kuolewa na tuweze kufunga pingu za maisha,lakini mimi nahofia sana kuishi na mtu mkoa tofauti na Njombe
Ushauri tafadhali nataka nioe hata mwaka huu kama nitakuwa mzima
Karibuni
Simama na mkeo.
Laana isio Haki haimpigi mtu
 
Mkuu sikuhiz sio km zaman kuamin kabila moja ndio utapata mke bora mambo yamebadilika sana angalia vigezo vya mke bora tu na oa utakaye mpenda
 
Habari Jf
Mimi ni kijana wa miaka 29,,kulingana na umri natakiwa kuoa na ukweli ni kwamba nimechelewa.
Napenda pia nilipanga kuwa nitaoa mke ambaye ni mzawa wa mkoa wangu wa Njombe(Mkinga au Mbena),mimi ni Mkinga.
Tatizo ni kwamba mimi naishi Dar es Salaam hivyo imekuwa vigumu kuonana au kufahamiana na wasichana wa kabila langu,lakini naamini waliopata wanawake wa nyumbani ndoa zao zimedumu kuliko walio oa makabila ya mikoa mingine.
Nimekuwa na mahusiano na wasichana wa mikoa tofauti na nimependwa na wamekuwa tayari kuolewa ila mimi ni mwoga kuoa makabila yaliyo nje na mkoa wa Njombe
Hadi muda huu naandika hii post nina uhusiano na msichana mzawa wa Tanga.Ni mtumishi wa umma kama mimi
Yeye yuko tayari kuolewa na tuweze kufunga pingu za maisha,lakini mimi nahofia sana kuishi na mtu mkoa tofauti na Njombe
Ushauri tafadhali nataka nioe hata mwaka huu kama nitakuwa mzima
Karibuni
 
Unaijuaje amani iliyopo ndani ya ndoa za jirani zako? Jiandae Kuwa mvumilivu tu utakaa na kabila lolote lile, pia unapoamua kuoa uache kukwepa majukumu yako kama Baba, uchoyo, ubahiri na uwajibikaji ni jukumu lako. Baba hajitambulishi kwa jana bali wajibu wako kifamilia ndio unaokutambulisha Kuwa wewe ni Baba. Ila ukabila utakukosesha mke mwema. Usiamini hicho kitu kwakua umetuambia ushakua na uhusiano na makabila tofauti na WANAKUPENDA, unataka nn tena?
 
Habari Jf
Mimi ni kijana wa miaka 29,,kulingana na umri natakiwa kuoa na ukweli ni kwamba nimechelewa.
Napenda pia nilipanga kuwa nitaoa mke ambaye ni mzawa wa mkoa wangu wa Njombe(Mkinga au Mbena),mimi ni Mkinga.
Tatizo ni kwamba mimi naishi Dar es Salaam hivyo imekuwa vigumu kuonana au kufahamiana na wasichana wa kabila langu,lakini naamini waliopata wanawake wa nyumbani ndoa zao zimedumu kuliko walio oa makabila ya mikoa mingine.
Nimekuwa na mahusiano na wasichana wa mikoa tofauti na nimependwa na wamekuwa tayari kuolewa ila mimi ni mwoga kuoa makabila yaliyo nje na mkoa wa Njombe
Hadi muda huu naandika hii post nina uhusiano na msichana mzawa wa Tanga.Ni mtumishi wa umma kama mimi
Yeye yuko tayari kuolewa na tuweze kufunga pingu za maisha,lakini mimi nahofia sana kuishi na mtu mkoa tofauti na Njombe
Ushauri tafadhali nataka nioe hata mwaka huu kama nitakuwa mzima
Karibuni
"huu Ukabila sasa hadi 2016 hizi ishu bado zipo?"
 
Back
Top Bottom