Hawa watu wa namna hii wako wengi sana, wanajidai Waislamu kumbe si Waislamu, lengo lao ni kuichafua dini ya Allah, ila hili haliwezkani.Ni ipi ilikuwa ‘Aqidah na Manhaj yako huko zamani?
mmmh!
mmh!
Nina maswali mengi. Ila ngoja nikae kimya.
cc Kisai Kazakh destroyer naombeni muweke neno hapa.
رَبَّنَا لَا تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْهَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً ۚ إِنَّكَ أَنتَ ٱلْوَهَّابُ
“Our Lord, let not our hearts deviate after You have guided us and grant us from Yourself mercy. Indeed, You are the Bestower.” (Qur’an 3:8)
Ewe Mwenye kuzigeuza Nyoyo, uthibitishe Moyo wangu katika Dini yako.
You are just a Scammer.Mimi ni Muislam kwa baba na mama na hatuna historia ya dini nyingine labda huko nyuma kabisa ambapo hata bibi zangu hawakuwepo au hawajui, imetokea mimi tu kuupenda ukiristo kiasi ambacho tangu niko form one miaka zaid ya ishirini kubadili majina yangu na kuwa ya kikiristo na nilikua nikisema baba yangu mktisto mama yangu ndiyo muislam, bahat mbaya nikiwa form two nilikaa hostel ya waroma kwahivyo nilikuwa napenda wakati mwingine kwenda kanisani japo nilikua sielew kitu, kuna wakati napotezea naanza kusali kiislam kwasabu dini ya kiislam naijua nimesama madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma na hapo zaman nilikua nikisia mtu anasoma kuruan nalia bila kujua nalilia nini nikawa namwambia mama mbona nie nalia nikiona au kusikia kuruan inasomwa? Mama ananiambia tu inaitwa midadi hiyo.
Nimejikuta tu wanangu sijawapeleka madrasa na shule nimewapeleka shule za kikiristo na sipend kabisa za kiislam wala madrasa na huwa nawaambia wanangu nendeni kanisani, na utu uzima huu kuna wakati nilipata majanga makubwa nikaona njia sahihi ni kuombewa kanisani nikaenda roma kuombewa ndani ya siku tatu pepo likatoka na nimeendelea kusali kiroma nikiwa nyumban na natumia maji ya baraka wakat mwingi nahis kabisa yananisaidia, halaf nikiwa kanisani nina aman zote nachokisema nakielewa nachokisali nakielewa! Naona mahubir ya father nayaelewa vizuri na hapa nyumban redio nasikiliza redio maria tu na naifurahia.
Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sahiv ndiyo nazid kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu nataman waanze mafundisho, au kuna sehem sijielewi?
Je alivyoweka wanyama, vyakula, vinywajink akasema kuleni hivi na msile vile ni kwa nini? Alivyokua adamu bustanin akaambiwa asile lile tunda ni kwa nini?
Jibu ni kukujaribuni je mtamtii katika maamrisho yake au mtakwenda kinyume. Hivyo uwepo wa dini mia au mia mbili ipo iliyosahihi na ni uislamu kazi kwako ukubali au ukatae au ulete unlogical argument skwa maarifa na ujuzi aliokupa wewe. Na ili kuwataini watakaofaulu na watakaoshindwa ndio maana kutakua na kiyama ambapo wapo watakao fuzu watapewa mm pepo waliyoahidiwa na watakao feli basi mafikio yao yatakua ni motoni, allah atujalie pepo yake na atuepushe na adhabu ya moto
Nakupenda sanaHuwa naumia roho yangu nikiona mikwara ya kutishana badala ya kuelimishana! Nimezaliwa kwenyw uislam lakini nimekua nawaza ukiristo sijapenda hivyo yaan sijawaza kubadilika ila mabadiliko yamenipenda na kule nimekuta hakuna kutishana bali kuna kuelimishana na kuhubiriwa kwa lugha ninayoielewa kiswahili, ninaomba na kusali ninachokielewa! Kwahiyo mkuu usinitishe hakuna aliyekufa akafufuka akaeleza aliyoyakuta huko! Hata yesu sijui kama alisema kwa mungu kukoje au unielekeze
Kwa upande wangu sidhani kama kuna ulazima wa kutumia neno lenye utata na kuliacha neno lisilo utata ili hali maneno yote hayo yana maana moja.Inatosha, upo vizuri labda tu tuongeze kitu hapa ili kuelewana:
Ukisikia Mkristu anasema Yesu ni Mungu usidhani amemuondoa Mungu kwamba hayupo. Huku kuna fundisho la utatu, lakini huo utatu ni 'mmoja'. Akili yako ikiweza kuyachukulia haya ndio utaelewa kuwa wakristu pia tunamtambua Mungu mmoja na hakuna Mungu mwingine isipokuwa yeye.
Mfano familia fulani inamiliki gari moja.
Sentesi A. Tunalo gari jeusi, zuri linalotumia petroli na linakimbia kwa kasi sana.
Sentensi B. Tuna gari linalokimbia
Tunaruhusiwa kusema sentensi B na sentensi A ni moja. Tunaruhusiwa pia kusema sentensi B ni mwana wa sentensi A na wakati tulisha sema ni moja na hatujachanganyikiwa! Kosoa hii logic kwanza kama iko na makosa. Kama haifai niambie nitumie miduara[cocentric circles labda tutaelewana
Namna pekee ya kuepuka hivyo vitisho ni kuwa atheist tuHuwa naumia roho yangu nikiona mikwara ya kutishana badala ya kuelimishana! Nimezaliwa kwenyw uislam lakini nimekua nawaza ukiristo sijapenda hivyo yaan sijawaza kubadilika ila mabadiliko yamenipenda na kule nimekuta hakuna kutishana bali kuna kuelimishana na kuhubiriwa kwa lugha ninayoielewa kiswahili, ninaomba na kusali ninachokielewa! Kwahiyo mkuu usinitishe hakuna aliyekufa akafufuka akaeleza aliyoyakuta huko! Hata yesu sijui kama alisema kwa mungu kukoje au unielekeze
Hivi hili fundisho la UTATU nani aliliweka kwa mara ya kwanza ? Maana najua kabisa Yesu hawezi kusema haya, sababu alikuwa ni nabii wa Allah.Ukisikia Mkristu anasema Yesu ni Mungu usidhani amemuondoa Mungu kwamba hayupo. Huku kuna fundisho la utatu, lakini huo utatu ni 'mmoja'. Akili yako ikiweza kuyachukulia haya ndio utaelewa kuwa wakristu pia tunamtambua Mungu mmoja na hakuna Mungu mwingine isipokuwa yeye.
Kutete ushirikina kazi sana. Natamani ungekielewa hiko ulichokiandika. Kanuni ya utoaji mifano umeiitupilia na hili nina uhakika kabisa kwamba huijui. Usilete falsafa na logic katika uhalisia. Mfano wako ulio utoa hauingii katika mfano wa utatu au kupitia mfano huo ukahalalisha utatu, hapo umedhibirisha wazi ni kwa namna gani Wakristo mnauwezo mdogo sana wa kuhoji.Mfano familia fulani inamiliki gari moja.
Sentesi A. Tunalo gari jeusi, zuri linalotumia petroli na linakimbia kwa kasi sana.
Sentensi B. Tuna gari linalokimbia
Hakuna ruhusa hii katika lugha yoyote hata kimantiki inakataa sababu kikubwa hakiwezi kwa sawa na kidogo, yaani "Subset" haiwezi kuwa sawa na "Universal set" mpaka uanishe baadhi ya mambo na kuyatoa mengine.Tunaruhusiwa kusema sentensi B na sentensi A ni moja.
Hapa ndipo mlipoharibu dini yenu kuruhusu mawazo ya watu yaamue juu ya maandiko na cha ajabu mawazo yao hayakuweza kung'amua maandiko.Tunaruhusiwa pia kusema sentensi B ni mwana wa sentensi A na wakati tulisha sema ni moja na hatujachanganyikiwa! Kosoa hii logic kwanza kama iko na makosa. Kama haifai niambie nitumie miduara[cocentric circles labda tutaelewana
Hapa ndipo Wakristo mlipo angukia pua, ukisoma maelezo ya mwenzako anaonyesha wazi hicho alichokiandika hakijui na hawezi kukitetea, anawezaje kuelezea maandiko ya dini kwa kutumia falsafa na logic ? Elimu dhaifu namna hii ?Kwa upande wangu sidhani kama kuna ulazima wa kutumia neno lenye utata na kuliacha neno lisilo utata ili hali maneno yote hayo yana maana moja.
Being angry over something stupid is really stupidSamahani bwani,ninahasira kweli na huyu mleta maada,
Mwenyezi Mungu humpa nguvu amtakaye na umnyima amtakaye na vyote(kunyimwa na kupewa) sio kiashiria cha kupendwa au kuchukiwa bali ni mtihani .Swadakta. Yaani islam ingekuwa dini ya haki kama wanavodai ingekuwa inatawala dunia, na mungu asingeruhusu dini nyingine itawale
Mkuu!Hivi hata kiswahili ni kigumu kwako?.Ni wapi andiko limeongelea kufa mwili?Na niwapi nimekuambia kuwa mimi mkristo?Uzima wa milele, Wakati tunaona makaburi ya Wakristo yamejaa, sawa tu na wasiyo Wakristo, unachekesha wewe.
Hebu nenda Mburahati ukaone, angalau mngedanya, kuwa wakristo mtafufuliwa baada ya kufa, maana kufa lazima ufe hivyo hakuna uzima wa milele.
.
We una amini jiwe ni kiumbe hai?NAOMBA KWANZA ICHUNGUZE MISINGI ZA IMANI HIZI 2 KAMA ZINAVYOJIELEZA.
UKRISTO
- Ni kuamini katika UTATU yaani Mungu,Mwana wa Mungu na Roho Mtakatifu.
-Kuamini kusulubiwa,kufa na kufufuka kwa Yesu.
-Kuamini hakuna maombi yanayoweza mfikia Mungu bila kupitia kwa Yesu.
-Kuamini kuwa Yesu pia ndiye Mungu mwenyewe mkuu.
UISLAMU
-Kuamini kuwa Mwenyezi Mungu ni mmoja na hana wa kufanana naye Duniani na Mbinguni.
-Kuamini kuwepo kwa Malaika na utendaji wao.
-Kuamini Vitabu vyake vyote Mwenyewe Mungu vikiwemo Torati,Zaburi,Injili na Quran.
-Kuwaamini Mitume wote walitumwa na Mwenyezi Mungu akiwemo na Yesu.
-Kuamini katika Qadar yake Mwenyezi Mungu,yaani matokeo yote ya kheri na Shari ni katika ruhusa yake.
-Kuamini kuwepo kwa siku ya mwisho,siku ambayo watu wote watafufuliwa kwa ajili ya hesabu ya matendo yao.
Mkuu!Ukijikita katika kuchunguza MISINGI hiyo ya IMANI,nina hakika utapata majibu ya wapi ufuate japo kwa kuanzia.Asante.
huyu amepatwa na shambulizi la shetani na limempata akiwa hana kinga hata 0.00000 so ni suala la muda tu atahamia huko anapotamani, aaamyn atuepushe sote kaka.Ni ipi ilikuwa ‘Aqidah na Manhaj yako huko zamani?
mmmh!
mmh!
Nina maswali mengi. Ila ngoja nikae kimya.
cc Kisai Kazakh destroyer naombeni muweke neno hapa.
رَبَّنَا لَا تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْهَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً ۚ إِنَّكَ أَنتَ ٱلْوَهَّابُ
“Our Lord, let not our hearts deviate after You have guided us and grant us from Yourself mercy. Indeed, You are the Bestower.” (Qur’an 3:8)
Ewe Mwenye kuzigeuza Nyoyo, uthibitishe Moyo wangu katika Dini yako.
Mmhhh [emoji3064]You feel guilty about what you did…apo wewe mwenyewe hujielewi unafikiri Nani atakae kuelewa.
Unajua hukmu ya murtad..!!
Mkuu!Kwanza mimi siyo mkristo.Hapa ndipo Wakristo mlipo angukia pua, ukisoma maelezo ya mwenzako anaonyesha wazi hicho alichokiandika hakijui na hawezi kukitetea, anawezaje kuelezea maandiko ya dini kwa kutumia falsafa na logic ? Elimu dhaifu namna hii ?
Hapa alitakiwa aende na maana za maandiko na uhalisia ila huko alipoenada hapakidhi haja.
Niamini au nisiamini kutokana na msingi upi?We una amini jiwe ni kiumbe hai?