Ukifuatilia historia yako...Mimi ni Muislam kwa baba na mama na hatuna historia ya dini nyingine labda huko nyuma kabisa ambapo hata bibi zangu hawakuwepo au hawajui, imetokea mimi tu kuupenda ukiristo kiasi ambacho tangu niko form one miaka zaid ya ishirini kubadili majina yangu na kuwa ya kikiristo na nilikua nikisema baba yangu mktisto mama yangu ndiyo muislam, bahat mbaya nikiwa form two nilikaa hostel ya waroma kwahivyo nilikuwa napenda wakati mwingine kwenda kanisani japo nilikua sielew kitu, kuna wakati napotezea naanza kusali kiislam kwasabu dini ya kiislam naijua nimesama madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma na hapo zaman nilikua nikisia mtu anasoma kuruan nalia bila kujua nalilia nini nikawa namwambia mama mbona nie nalia nikiona au kusikia kuruan inasomwa? Mama ananiambia tu inaitwa midadi hiyo.
Nimejikuta tu wanangu sijawapeleka madrasa na shule nimewapeleka shule za kikiristo na sipend kabisa za kiislam wala madrasa na huwa nawaambia wanangu nendeni kanisani, na utu uzima huu kuna wakati nilipata majanga makubwa nikaona njia sahihi ni kuombewa kanisani nikaenda roma kuombewa ndani ya siku tatu pepo likatoka na nimeendelea kusali kiroma nikiwa nyumban na natumia maji ya baraka wakat mwingi nahis kabisa yananisaidia, halaf nikiwa kanisani nina aman zote nachokisema nakielewa nachokisali nakielewa! Naona mahubir ya father nayaelewa vizuri na hapa nyumban redio nasikiliza redio maria tu na naifurahia.
Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sahiv ndiyo nazid kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu nataman waanze mafundisho, au kuna sehem sijielewi?
Sio kweli. Ye kasema kasoma madrasa na vitabu vyote kasoma maana yake misingi ya kiislam anayo. Apo naona alikiwa ajapewa jini la kumfanya kuwa mwislamuUkifuatilia historia yako...
Umezaliwa kwenye Familia ya Kiislam kwa jina ila hukupata msingi wowote wa dini ya Kiislam zaidi ya kupewa jina la kiIslam.
Ulipo kwenda sekondary ya wakatoliki, hapo ndio uliweza kupata Mafundisho ya Dini (Kikatoliki) ambapo ukawa ndio mwanzo wako wa kupata mafundisho ya Dini. Kwa kuwa hukuwa na Elimu yoyote ya dini uliyozaliwa nayo kwa vyovyote vile uta amini kile unachofundishwa (katoliki) kuwa ndio dini bora kuliko zote
Nimeandika hivyo ili ujue kuwa, hakuna chochote cha ajabu hapo na sijui kwa nini unashindwa kuelewa such a simple logic.
Kwa mtu mwenye hekima, nilitegemea uulize kuwa nimepata mafundisho ya kikatoliki shuleni na wazazi wangu hawakutimiza wajibu wao wa kunipatia foundation ya Kiislam; ni wapi naweza kupata mafundisho ya Kiislam ili niweze kufanya uamuzi sahihi ya Dini ipi niifuate.
Ila kiujumla unaonekana kuwa na unaudhaifu katika kufanya maamuzi sahihi na inawezekana sio kwenye dini pekee!
Hivyo vitabu vyote ukimwambia sasa hivi akutajie vitano tu itabidi akavi-Google akuletee. Muongo huyo hajasoma uislamSio kweli. Ye kasema kasoma madrasa na vitabu vyote kasoma maana yake misingi ya kiislam anayo. Apo naona alikiwa ajapewa jini la kumfanya kuwa mwislamu
Hata mimi nimeliona hili, angalia comment zake kwa wasio kua waislam anazipokea vyema ila ushauri unaotoka kwa waislam anautolea maneno yasiyofaa.Wewe siyo MUISLAMU.
Inatosha, upo vizuri labda tu tuongeze kitu hapa ili kuelewana:Mkuu!Mimi naamini katika UZIMA WA MILELE kama alivyo ueleza Yesu mwenyewe:-
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Huyo muongoooo 😁😁😁😁Hadi utu uzima huu ujajua wapi usimame sio sahihi
Unaabudu mungu wa waarabu.Yaani wewe unanilinganisha Mimi ninayeabudu Mungu mmoja Allah na hao wanaoabudu Masanamu,au n'gombe?hao ujilinganishe na wewe mwenzao muabudu masanamu
Umesoma uislam vitabu vyote halafu has nguzo tu za imani huzijui???Nimekuja kuomba ushauri sijaja kubishana! Kama huna kaa kimya!
Rafiki upo SEHEMU sahihi,ukristo haitoshi tu Bali taka kuwa ndani ya yesu kristo mwenyewe,aingie ndani yako atawale maisha yako.Mimi ni Muislam kwa baba na mama na hatuna historia ya dini nyingine labda huko nyuma kabisa ambapo hata bibi zangu hawakuwepo au hawajui, imetokea mimi tu kuupenda ukiristo kiasi ambacho tangu niko form one miaka zaid ya ishirini kubadili majina yangu na kuwa ya kikiristo na nilikua nikisema baba yangu mktisto mama yangu ndiyo muislam, bahat mbaya nikiwa form two nilikaa hostel ya waroma kwahivyo nilikuwa napenda wakati mwingine kwenda kanisani japo nilikua sielew kitu, kuna wakati napotezea naanza kusali kiislam kwasabu dini ya kiislam naijua nimesama madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma na hapo zaman nilikua nikisia mtu anasoma kuruan nalia bila kujua nalilia nini nikawa namwambia mama mbona nie nalia nikiona au kusikia kuruan inasomwa? Mama ananiambia tu inaitwa midadi hiyo.
Nimejikuta tu wanangu sijawapeleka madrasa na shule nimewapeleka shule za kikiristo na sipend kabisa za kiislam wala madrasa na huwa nawaambia wanangu nendeni kanisani, na utu uzima huu kuna wakati nilipata majanga makubwa nikaona njia sahihi ni kuombewa kanisani nikaenda roma kuombewa ndani ya siku tatu pepo likatoka na nimeendelea kusali kiroma nikiwa nyumban na natumia maji ya baraka wakat mwingi nahis kabisa yananisaidia, halaf nikiwa kanisani nina aman zote nachokisema nakielewa nachokisali nakielewa! Naona mahubir ya father nayaelewa vizuri na hapa nyumban redio nasikiliza redio maria tu na naifurahia.
Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sahiv ndiyo nazid kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu nataman waanze mafundisho, au kuna sehem sijielewi?
Hazimuabudu Mungu mmoja. Mungu wetu waislam hajazaa na wala hana mtotoMkuu dini sio kabila kwamba huwezi kubadili. Kingine hizi dini tumeletewa na zote zinamuabudu Mungu mmoja. Sali dini ambayo inakupa amani ya moyo. Maisha mafupi na magumu sana kuanza kuumiza kichwa uwe dini gani wakati tayari umeshaoneshwa dini sahihi ya kuifata.
Kuhusu watoto ningependa kufahamu baba yao (mumeo) ni dini gani?
Mungu wa waislam hajazaa wala hana mtoto. Huyo ni tofauti na Mungu wa wakristo ambae anae mtotoFuata Moyo wako angalia unapopata amani.
Mungu wetu ni mmoja...
Familia yeyote, ikisikia Baba dini hii Mama dini hii, tegemea kupata watoto wasio kuwa na msimamo na dini yeyote.
Maana tangu kuzaliwa kwao kutoka kwa wazazi wasioujua Msikiti wala Kanisa, hawana mafundisho yanahusu dini.
Hivyo alieleta mada hii hapa ni zao la ndoa ya kwa mkuu wa Wilaya. Tena afadhari huyu anaetafuta dini akiwa mtu mzima na Watoto wake, naamini hajui kitabu chochote siyo Bibilia wala Qurani.
Mwenye kujua chochote hawezi kuja kuuliza wapi pa kwenda hapa JF.
Yesu ndiye njia ya kufika mbinguni mkuu, niamini nikuambiacho. Fanya maamuzi ya kumfuata Bwana Yesu, hutojuta. Utapata uhakika wa maisha haya na yale yajayo!Bado sijafanya maamuzi japo nasukumwa sana na moyo wangu ila sielewi nifanye nini? Nibak ambapo nimezaliwa au niende moyo wangu unapopataka? Itakuaje??
Anasema kuruan hahahahahahaha na kusali?? Hahahahahahaah huyu mtu bhanaNi ipi ilikuwa ‘Aqidah na Manhaj yako huko zamani?
mmmh!
mmh!
Nina maswali mengi. Ila ngoja nikae kimya.
cc Kisai Kazakh destroyer naombeni muweke neno hapa.
رَبَّنَا لَا تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْهَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً ۚ إِنَّكَ أَنتَ ٱلْوَهَّابُ
“Our Lord, let not our hearts deviate after You have guided us and grant us from Yourself mercy. Indeed, You are the Bestower.” (Qur’an 3:8)
Ewe Mwenye kuzigeuza Nyoyo, uthibitishe Moyo wangu katika Dini yako.
Swadakta. Yaani islam ingekuwa dini ya haki kama wanavodai ingekuwa inatawala dunia, na mungu asingeruhusu dini nyingine itawaleTuache upumbavu
Wewe ulishawahi kupewa nafasi na wazazi wako uchague dini au ulikuta wazazi ni waislam nawe ukawa huko? Tuache huo ujinga wa kudhani dini fulani ina haki sana mbele za Mungu. Mungu angelitaka angefuta na kubakiza dini 1 ulimwenguni. Mimi mwenyewe nimezaliwa familia ya kiislam, na nina ndugu zangu ni maulamaa ukienda kwetu Bukoba, lakini siongei maneno makali kwa watu wa imani tofauti na mimi.
Je alivyoweka wanyama, vyakula, vinywajink akasema kuleni hivi na msile vile ni kwa nini? Alivyokua adamu bustanin akaambiwa asile lile tunda ni kwa nini?Swadakta. Yaani islam ingekuwa dini ya haki kama wanavodai ingekuwa inatawala dunia, na mungu asingeruhusu dini nyingine itawale
Aliposema tu amesoma vitabu vyote vya uislam nkajua huyu ni muongo. Nlipoona tu anazungumzia "Kuruan" nkajua huyu anataka kutufanya watotoFamilia yeyote, ikisikia Baba dini hii Mama dini hii, tegemea kupata watoto wasio kuwa na msimamo na dini yeyote.
Maana tangu kuzaliwa kwao kutoka kwa wazazi wasioujua Msikiti wala Kanisa, hawana mafundisho yanahusu dini.
Hivyo alieleta mada hii hapa ni zao la ndoa ya kwa mkuu wa Wilaya. Tena afadhari huyu anaetafuta dini akiwa mtu mzima na Watoto wake, naamini hajui kitabu chochote siyo Bibilia wala Qurani.
Mwenye kujua chochote hawezi kuja kuuliza wapi pa kwenda hapa JF.