Simple sana hiyo debate lazima kulikuwa na nafasi ya huyo mzungu ku respond , weka hapa kipisi kilichokatwa
nasubiria
🤣🤣 mbona rahisi sana kama uliweza weka hicho kipande , weka na kipande cha majibu ya huyo pastor,Nilikuwa nakuangalia kama uliisikiliza kumbe unabishana Tu hata hukuisikiliza .
Halafu unakimbia kujibu uzushi wako kuwa Deedat kaongea uongo. Nilikuwekea tofauti ya version Na translate hukuangalia au kiengereza kinakupiga chenga ?
Deedat kafahamisha vizuriy .
Hata sielewi Kama kweli wewe ni mkristo. Mkristo wa kweli habishani upuuzi Na kujibu kipumbavu.
Hiyo full debate ukiisngalia huyo Pastor ni mbabaishaji Kama wewe
Hii ni debate nzima ona mwanzo mpaka mwisho🤣🤣 mbona rahisi sana kama uliweza weka hicho kipande , weka na kipande cha majibu ya huyo pastor,
wewe ni muongo muongo kama huyo deetat aliekata majibu ,
sasa nasubiria weka kipisi ulichokata makusudi na kwa nini ukate?
Hii inasema Is Jesus GodHii ni debate nzima ona mwanzo mpaka mwisho
Unajifanya kusahau kujibu hivi biblia ya JW huiamini ?
IPI ni ipi umeletaHii ni debate nzima ona mwanzo mpaka mwisho
Unajifanya kusahau kujibu hivi biblia ya JW huiamini ?
Angalia zote upate kuweka uongo wa Deedat Kama ulivyosema kuwa jamaa ni mwongoIPI ni ipi umeleta
different bibles
Is Jesus God
an hii Is the bible word of God
Hupotezi muda Kama unatafuta kuweka uongo wa DeedatHii inasema Is Jesus God
ile ilisema Different Bibles, je ndio moja? ili nisipoteze muda kuangalia
Toa maelezo ipi ndio inamajibu ya Different bibleHii ni debate nzima ona mwanzo mpaka mwisho
Unajifanya kusahau kujibu hivi biblia ya JW huiamini ?
IPI ni ipi umeleta
different bibles
Is Jesus God
an hii Is the bible word of God
Acha janjajanja , wewe ni muongo kama deedatHupotezi muda Kama unatafuta kuweka uongo wa Deedat
1.Different bible ya 2013 ambayo ni kipisi ndio nimekutaka kuweka kipisi kilichokatwa ambacho kinamajibu ya madai ya deedatAnza Na hii ndiko Kule ulipotuletea mata go pori kuwa jamaa ni muongor
Acha janjajanja , wewe ni muongo kama deedat
Umeweka debate tatu
1.Different bible ya 2013 ambayo ni kipisi ndio nimekutaka kuweka kipisi kilichokatwa ambacho kinamajibu ya madai ya deedat
2. Is Jesus God - dabate ya 2014
3.Is the bible word of God - dabate ya 2011
1.Different bible ya 2013 ambayo ni kipisi ndio nimekutaka kuweka kipisi kilichokatwa ambacho kinamajibu ya madai ya deedat
2. Is Jesus God - dabate ya 2014
nataka kipisi alichokata deedat
Amejibu vizuri kabisa , ndio maana ulikuwa umekata ukiogopa sehemu ya majibu, ndio uongo wako na deedat mlioufanya wa kukata majibuMbona wewe mbabaishaji Si ukitaka debate Nzima ndio nimekuwekea hii Sasa unarusha ngumi hewani Kama wale wayahudi wa wakati wa Yesu
Baada kusikiliza dakika mbili video ya zaidi ya Saa moja ? Hongera sanaAmejibu vizuri kabisa , ndio maana ulikuwa umekata ukiogopa sehemu ya majibu, ndio uongo wako na deedat mlioufanya wa kukata majibu
Umeshajibiwa vizuri nini kilitokea kwenye ku translate, nimeenda kwenye majibu , na wewe pia ulikata makusudi ili usambaze uongoBaada kusikiliza dakika mbili video ya zaidi ya Saa moja ? Hongera sana
Sasa weka Huo uongo uliosema
Umekimbia tena kujibu ikiwa unaiamini biblia ya JW au la ?
Koran 9:5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.....Hakuna kulazimishana katika dini ya uislam, u are free to choose...
"Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063Hakuna kulazimishana katika dini ya uislam, u are free to choose...
Umeshajibiwa vizuri nini kilitokea kwenye ku translate, nimeenda kwenye majibu , na wewe pia ulikata makusudi ili usambaze uongo
Siamini JW na maandiko yao yote
"Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063