Dabate lizama iwe na response sasa yeye kaongea mwenyewe kakata kakipisi kaweka , bila majibu ya alie kuwa ana debate nae hapo tu ndio uongo wake unapoanziaNdio uwongo wa deedat Huo , umeweka?
Hiyo Link wewe umeiangalia ?
Naona hivyo unavyosema ni kinyume Na hiyo Link yako
Sasa ulikuwa unajaza server ya nini si ungeweka link, alafu kumbuka JW ni waislamu wenzakoNdiyo , Sasa sema kipi hapo ni uongo
Au nikuwekee Wikipedia ?
Wewe jamaa ujinga wako hauna kikomo yani unaenda kuchukua nukuu JW
Dabate lizama iwe na response sasa yeye kaongea mwenyewe kakata kakipisi kaweka , bila majibu ya alie kuwa ana debate nae hapo tu ndio uongo wake unapoanzia
Sasa ulikuwa unajaza server ya nini si ungeweka link, alafu kumbuka JW ni waislamu wenzako
JW ni waislamu kama wewe ,Hapo wameandika historia tu hamna kuhusu uislamu au ukristo, mbona unakuwa mjinga hivyo na chuki nyingi
hakuna mtu ambaye ameshagundua dini ya ukweli ni upi.So long wote tunamuambudu mungu mmoja usimpotoshe mwenzako kwa kuona dini yako ndio halali mbona kuna dini nyingi tu Hindu,Baniani,zoroaster,jainism,judaism,rasta fari,Tao,shinto wote hawa nao ni binadamu kama sisi usidhani mungu hawaoniKwanza nakupa pole sana, umesema umesoma madrasa na unaijua Dini ya kiislamu? Kwa mtu anayeijua Dini ya Kiislam hawezi kuja kuomba msaada hapa jukwaani, naamini wewe ungekuwa msaada kwa wengine kuwaingiza kwenye Uisilamu.
Kama kweli ulichokifanya unakijua na malipo yako utakuwa unayajua baada ya kufa kaburini na siku ya kiaama. Kibaya zaidi unadiriki hata kuwapotosha watoto zako wakati wazazi wako wamekupa kheri zote? Nimejaribu kuandika lakini nashindwa kuuendelea, angalia wanaokupotosha wanakwambia Dini zote ni sawa, wapi na wapi? Nenda kwa wazazi wako ukawaambie kuhusu msimamo wako nadhani watakusaidia zaidi
Uongo wa deedat ni kukata majibu , mtu anaefanya hivyo si wakuaminiwa kwa loloteNdio uongo wa deedat hapo ???
Uongo wa deedat ni kukata majibu , mtu anaefanya hivyo si wakuaminiwa kwa lolote
ndivyo walivyokuambia ???JW ni waislamu kama wewe ,
Kuna sababu kubwa imefanya amekata majibu, alicho ongea kilijibiwa vyema yeye akakata kwa nia ya kupotoshaUongo ni kukata majibu au hicho anachosema ? Wewe zimo ?
dini zote tumeletewa inakuwaje tena Yesu awe tumaini kwani alikuambia wapi umtumaini yeye ??hizi dini zote tumeteletewa, msingi mkuu ni upendo na kumcha mwenyezi mungu, na Yesu ndio tumaini kuu kwa maisha ya sasa na hata baadae, hongera kwa kuchagua njia ya kweli.
Hao ni waislamu kama wewe , wewe si unaona umenda kwao kuchukua nukuundivyo walivyokuambia ???
kwa hivyo biblia yao huiamini au vipi ???
wewe huna majibu ??? na huwezi kuonyesha huo uongo ??Kuna sababu kubwa imefanya amekata majibu, alicho ongea kilijibiwa vyema yeye akakata kwa nia ya kupotosha
embu weka na kipisi cha majibu nasubiria
maneno hayo unasema wewe , wala hujanijibu ,,,hivi biblia yao huiamini ??Hao ni waislamu kama wewe , wewe si unaona umenda kwao kuchukua nukuu
Simple sana hiyo debate lazima kulikuwa na nafasi ya huyo mzungu ku respond , weka hapa kipisi kilichokatwawewe huna majibu ??? na huwezi kuonyesha huo uongo ??
Simple sana hiyo debate lazima kulikuwa na nafasi ya huyo mzungu ku respond , weka hapa kipisi kilichokatwa
nasubiria