Ndio , maana hujibu unababaisha Tu unafikiri sisi hatuelewi haya mambo? Ungalijibu wala usingalijibu hivi unavyojibu kukimbia kimbia Tu .Kama vile hiyo Google unayo wewe tuHuu ujinga sana , Yani unauliza swali alafu kumbe unamajibu mfukoni
Huo uelewa wako ungeuweka , ndio tuujadiliNdio , maana hujibu unababaisha Tu unafikiri sisi hatuelewi haya mambo? Ungalijibu wala usingalijibu hivi unavyojibu kukimbia kimbia Tu .Kama vile hiyo Google unayo wewe tu
Huu ujinga sana , Yani unauliza swali alafu kumbe unamajibu mfukoni
Huo uelewa wako ungeuweka , ndio tuujadili
Ule sio uelewa wako , ni uelewa wa DeedatNdio nikakuwekea kule ile clip ambayo umedai jamaa ni muongo.
Nimekuomba uuweke uongo wake , umejikata
Ule sio uelewa wako , ni uelewa wa Deedat
Wewe ni mjinga sana wapi nimekwambia KJV ilianza wakati wa Yesu,Hiyo Biblia ya KJV haikuanza wakati wa Yesu kama unavyotaka kutulisha matango pori , umeandika mwa 1611.
Sijawahi kusikia tajiri anatolewa mapepoTafuta hela hayo mapepo ya umasikin dini ya haki Ni uislam tu
Huu ujinga sana , Yani unauliza swali alafu kumbe unamajibu mfukoni
Wewe ni mjinga sana wapi nimekwambia KJV ilianza wakati wa Yesu,
Jagina Hapa ndio nilikwambia ilianza kipindi cha Yesu, punguza upumbavuIpo original language na translation zaidi ya 20 , imeanza NIV mpaka OJB
KJV -The King James Version, -is an English translation of the Christian Bible for the Church of England, 1611
Biblia lugha yake ya asili ni ipi?Si umesema hizo biblia ni za zamani sana na ukaleta link na kusema ina lugha yake ya asili
ULIANDIKAJagina Hapa ndio nilikwambia ilianza kipindi cha Yesu, punguza upumbavu
Biblia lugha yake ya asili ni ipi?
Biblia lugha yake ya asili ni ipi?
Link nimekuwekea ingia kasome biblia lugha ya mwanzo na translation zaidi ya ishirini na nyiongeza translation ya neno kwa nenoBy the way nasubiri majibu ya uongo wa Ahmed Deetat kwenye ile clip
Wewe jamaa ujinga wako hauna kikomo yani unaenda kuchukua nukuu JWViongozi wa kidini walifurahi kupokea kutoka kwa mfalme wao, Biblia “ambayo iliwekwa rasmi isomwe Makanisani.”
Hata hivyo, swali lililobaki ni, Je, taifa hilo litaikubali tafsiri hiyo mpya ya Biblia?
Kwenye dibaji yao ndefu ya awali, watafsiri wa Biblia hiyo waliandika kuhusu wasiwasi wao ikiwa tafsiri hiyo mpya ingekubaliwa.
Hata hivyo, Biblia ya King James Version ilikubaliwa na wengi, hata ingawa ilichukua miaka 30 hivi ili watu waanze kupendelea kuisoma badala ya kusoma Geneva Bible.
Kulingana na kitabu The Bible and the Anglo-Saxon People, Biblia ya King James Version ilikuja kuonwa kuwa ndiyo Tafsiri Rasmi (Authorized Version), na ikaja kukubaliwa kwa sababu ya ubora wake.
Kitabu The Cambridge History of the Bible kilifikia mkataa huu: “Maandishi yake yalionwa kuwa matakatifu kana kwamba yanatoka kwa Mungu moja kwa moja; kwa Wakristo wengi wanaozungumza Kiingereza, ilionekana kwamba kuchambua maandishi ya King James Version ni sawa na kukufuru.”
Link nimekuwekea ingia kasome biblia lugha ya mwanzo na translation zaidi ya ishirini na nyiongeza translation ya neno kwa neno
Deetat hiyo hapo sio dabete maana hakuna mpaka mwisho hakuna sehemu ya mwenzake kajibu yeye kaongea tu mwenyewe akakata majibu,
Wewe jamaa ujinga wako hauna kikomo yani unaenda kuchukua nukuu JW