Hizo ni translation kijana weka akili kichwani , biblia kwa lugha yake ya mwanzo ipo tena original matini kabisa nakala za miaka maelfuMimi nimekurahisishia kazi wewe nenda katafute hizi katika nukuu nilizokuwekea
Ita vyovyote copy au kopia lakini ukweli ndio huo
(The Holman Illustrated Study Bible, ISBN: 978-1-58640-275-4, Gospel of John, Page1540)"
(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
Bado unaleta utata Allah anamtaja mwenyezi Mungu huyu anajitenganisha naye wazi kabisa
Sasa huyu Yeye ni nani Allah anaongea alafu anataja yeye anakuwa anamtaja nani?
Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Alafu Aya ya mwanzo mmetengeneza haipo kwenye koran
Hizo ni translation kijana weka akili kichwani , biblia wa lugha yake ya mwanzo ipo tena original matini kabisa nakala za miaka maelfu
Allah mwanzoa anataja mwenyezi Mungu kwa Nini hajitaji mwenyewe anae ongea hapo ni nani?Mbona unatoka out of contex kwa nguvu , kwani hapo mwanzo aya zimeanza kumzungumza nani ,
mbona unajifanya huelewi kiswahili ??
Mbona unatoka out of contex kwa nguvu , kwani hapo mwanzo aya zimeanza kumzungumza nani ,
mbona unajifanya huelewi kiswahili ??
Embu leta original ya mwanzo kwa lugha asili iliyoandikwa na leta ya leo kwa lugha yake ya mwanzoBiblia ya mwanzo siyo hii tunayoisoma leo
Soma wakristo wenzako wamekuwekea ushahidi
What was the first Bible like?
Allah mwanzoa anataja mwenyezi Mungu kwa Nini hajitaji mwenyewe anae ongea hapo ni nani?
Huyu ni Allah alafu anasema kwa jina la mwenyeezi Mungu 😂😂😂😂😂😂
Kwa jina Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu.
Vinamsabihi Mwenyezi Mungu vilivyo katika mbingu na ardhi. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
Mokiti anakupa vifungu hapa kila sekunde ina maana humuoni, mi nikitakiwa kueleza hicho kitu ntasema;Mbona unakimbia , Wapi yesu alisema mimi ni wa mwanzo na wa mwisho ??
Open Up, it's Jesus, si ndio avatar yako? Sasa unachopingapinga humu ni nini juu ya Yesu na huku umebandika ujumbe unaomhusu kwenye avatar yako 😂😂😂 sio kituko kweli wewe?Kwani Nani kakukataza kuleta video ??? au umekazania Na yule mwanaharamu asiyeingia katika ufalme wa Mungu Kama biblia inavyosema
umefahamu hiyo link ni kitu gani ???Embu leta original ya mwanzo kwa lugha asili iliyoandikwa na leta ya leo kwa lugha yake ya mwanzo
Jibu maswali ninayo kuuliza.Jibu kirahisi usiweke maelezo kama mashairi
Na utuambie huyu Yeye anaetajwa na Allah ni nani
Allah anasema Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Simple mtaje huyo yeye Allah anaemtaja ni nani, kumbuka mnatuambia Koran ni maneno Allah anatamka
Allah mwanzoa anataja mwenyezi Mungu kwa Nini hajitaji mwenyewe anae ongea hapo ni nani?
Huyu ni Allah alafu anasema kwa jina la mwenyeezi Mungu
Kwa jina Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu.
Vinamsabihi Mwenyezi Mungu vilivyo katika mbingu na ardhi. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
Labda haki ya majiniTafuta hela hayo mapepo ya umaskin dini ya haki Ni uislam tu
Mokiti anakupa vifungu hapa kila sekunde ina maana humuoni, mi nikitakiwa kueleza hicho kitu ntasema;
With respect to us earthlings Yesu ndio wa mwanzo na wa mwisho. Yaani kwa sisi hapa wa levo ya chini, yesu ndio wa mwanzo na wa mwisho. Tena hii sentensi mbona mngeichangamkia ninyi kusema kwamba kwa kuwa Mungu mwenyewe hana mwanzo wala mwisho ndio maana ni tofauti na Mwanae ambaye ana mwanzo na mwisho....... Kumbuka mambo ya mwanzo na mwisho ni kwa ajili ya walioumbwa, Muumbaji yupo nje ya muda mambo ya kusema mwanzo na mwisho hayana maana kwa Mungu.
Lakini sasa make no mistake, kutokana na udogo wetu mdooooogo sana na muda wetu mdogo sana. Tukiutazama muda anaoishi Yesu kwetu ni 'milele', ukienda zaidi kwa Baba ni 'milele na milele'. It makes no conceivable difference to us finite mortals[with potential to imortality] earthlings
Fikiria hata kuumbwa kwetu sisi wa chini ni Neno yaani Yesu ndiye aliyelifanikisha hilo lakini wakati wote huo anayoyatenda ni mapenzi ya Mungu Baba. Umeona sasa uhusiano wetu na Yesu?
Haha na kuna Aya nyingi anatumia neno sisi ikiwa yeye ni mmoja kwanini asitumie neno mimi na kuna aya anaapa kwa jua yaani jua aumbe mwenyewe halafu liwe kiapo chake yaani leo Rais Samia aunde kikosi kazi halafu aape kwa kikosi kazi
Open Up, it's Jesus, si ndio avatar yako? Sasa unachopingapinga humu ni nini juu ya Yesu na huku umebandika ujumbe unaomhusu kwenye avatar yako 😂😂😂 sio kituko kweli wewe?
Kwani wapi nimesema huyo ni Jesus? Usifikiri unabishana na kindergarten kid.Nani alikuambia hiyo avatar ni Jesus?
Umeamka nao?Kwani wapi nimesema huyo ni Jesus? Usifikiri unabishana na kindergarten kid.