Muandishi ananukuu maneno alivyotamka Yesu , mbona inaelewekaHivi kiswahili kinakupiga chenga?
Yesu aseme hivi?
Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “
Yesu alipozungumza hayo ni maneno ya Yesu ?
Muandishi ananukuu maneno alivyotamka Yesu , mbona inaeleweka
Sasa tuje kwa huyu anaejisahau kwamba yeye ndio anatakiwa kuwa mungu
Na utuambie huyu Yeye anaetajwa na Allah ni nani
Allah anasema Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Jibu hili kwanzaKidogo umeanza kuelewa kuwa hayo ni maneno ambayo mwandishi aliyepewa jina la Yohana ndiye anayetuambia kuwa Yesu alisema.
Suali
Jee Una hakika gani kuwa Yesu aliyasema hayo maneno ?
Jee huyo mwandishi ni Yohana yupi ?
Na kwa nini Injili zimeanza Na Injili Kama ilivyoandikwa? According to?
Isiwe injili ya Yohana ?
Kwani Nani kakukataza kuleta video ??? au umekazania Na yule mwanaharamu asiyeingia katika ufalme wa Mungu Kama biblia inavyosemaUnapokuja na videos za watu kuugeukia uislam uje na za wanaougekia Ukristo pia ili ubalance kotekote. Najua huwezi kwasababu uko biased na pedophilia wenu.
Jibu hili kwanza
Na utuambie huyu Yeye anaetajwa na Allah ni nani
Allah anasema Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Hii sawa, ni maelezo ya YohanaHakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua
Sawa sawaHii sawa, ni maelezo ya Yohana
Jibu hili kwanza
Na utuambie huyu Yeye anaetajwa na Allah ni nani
Allah anasema Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Soma lugha ya asili ipo usipate shida na translationsKatika Kitabu cha Ufunuo 1, aya ya 8, inaonyeshwa kuwa Yesu alisema yafuatayo kuhusu yeye mwenyewe: “Mimi ni Alfa na Omega”, asema Bwana, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu”.
Hizi ni sifa za Mwenyezi Mungu. Hivyo, Yesu, kulingana na Wakristo , hapa anadai uungu.
Hata hivyo, maneno yaliyotajwa hapo juu, ni kulingana KJV.
Katika RSV, wanazuoni wa Biblia walisahihisha tafsiri na kuandika: “Mimi ni Alfa na Omega”, asema Bwana Mungu, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu”.
Masahihisho pia yalifanywa kwa New American Bible (Biblia Mpya ya Marekani) iliyochapishwa na Katoliki.
Tafsiri ya Ayah hiyo imerekebishwa ili kuiweka katika muktadha wa sawa kaa ifuatavyo:
“Bwana Mungu anasema: ‘Mimi ni Alfa na Omega, yule aliyeko na aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu’”.
Kwa masahihisho haya, ni dhahiri kuwa hii ni kauli ya Mwenyezi Mungu wala sio kauli ya Yesu
Hii sawa, ni maelezo ya Yohana
Ma copy paste achana nayo , wewe kasoma biblia kwa lugha yake ya mwanzoThe Gospel of John:
Here is what the Bible's theologians and historians said about this gospel:
"Many scholars of the past two centuries have denied that John wrote this book, partly because of their belief that the author fabricated many details such as the miracles and the discourses of Jesus. (The Holman Illustrated Study Bible, ISBN: 978-1-58640-275-4, Gospel of John, Page1540)"
"Critical Analysis makes it difficult to accept the idea that the gospel as it now stands was written by one person. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
"Within the gospel itself there are also some inconsistencies. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
"To solve these problems, scholars have proposed various rearrangements that would produce a smoother order. However, most have come to the conclusion that the inconsistencies were probably produced by subsequent editing in which homogeneous materials were added to a shorter original. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
"Other difficulties for any theory of eyewitness authorship of the gospel in its present form are presented by its highly developed theology and by certain elements of its literary style. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
"The gospel contains many details about Jesus not found in the synoptic gospels. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
"The final editing of the gospel and arrangement in its present form probably dates from between A.D. 90 and 100. Traditionally, Ephesus has been favored as the place of composition, though many support a location in Syria, perhaps the city of Antioch, while some have suggested other places, including Alexandria. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
Soma lugha ya asili ipo usipate shida na translations
Jibu hili kwanza
Na utuambie huyu Yeye anaetajwa na Allah ni nani
Allah anasema Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Ma copy paste achana nayo , wewe kasoma biblia kwa lugha yake ya mwanzo
Jibu hili kwanza
Na utuambie huyu Yeye anaetajwa na Allah ni nani
Allah anasema Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Anaeongea ni AllahUmeandika :
Allah anasema Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Ikiwa kweli Kiswahili unakielewa , anayesema ni nani hapo ?
Mbona hujatuambia Yesu kasema wapi kuwa yeye ni wa mwanzo na wa mwisho ??
Achana na copy paste Jenga hoja zako mwenyewe, uliyo weka yapo google kama ulivyo ya paste hapaCopy and paste, Sorry mimi siandiki biblia na ndio nikakuletea ushahidi wa hizo biblia zilivyoandikwa
HIZO NI NUKUU KUTOKA NDANI YA BIBLIA
The Gospel of John:
Here is what the Bible's theologians and historians said about this gospel:
"Many scholars of the past two centuries have denied that John wrote this book, partly because of their belief that the author fabricated many details such as the miracles and the discourses of Jesus. (The Holman Illustrated Study Bible, ISBN: 978-1-58640-275-4, Gospel of John, Page1540)"
"Critical Analysis makes it difficult to accept the idea that the gospel as it now stands was written by one person. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
"Within the gospel itself there are also some inconsistencies. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
"To solve these problems, scholars have proposed various rearrangements that would produce a smoother order. However, most have come to the conclusion that the inconsistencies were probably produced by subsequent editing in which homogeneous materials were added to a shorter original. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
"Other difficulties for any theory of eyewitness authorship of the gospel in its present form are presented by its highly developed theology and by certain elements of its literary style. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
"The gospel contains many details about Jesus not found in the synoptic gospels. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
"The final editing of the gospel and arrangement in its present form probably dates from between A.D. 90 and 100. Traditionally, Ephesus has been favored as the place of composition, though many support a location in Syria, perhaps the city of Antioch, while some have suggested other places, including Alexandria. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
Anaeongea ni Allah
Kama ni kweli mnatuambia anae ongea ni Allah alaitakiwa kusema Mimi ndie mwanzo na mwisho
Sasa huyu Yeye ni nani Allah anaongea alafu anataja yeye anakuwa anamtaja nani?
Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Kwa jina Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu.بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
Vinamsabihi Mwenyezi Mungu vilivyo katika mbingu na ardhi. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.سَبَّحَ لِلَّهِ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ وَهُوَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ {1}
Yeye ndiye Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Anahuisha na anafisha. Na Yeye ni Mwenye uweza wa kila kitu.لَهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ يُحْيِي وَيُمِيتُ ۖ وَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ {2}
Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhahiri na wa Batini, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu.هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ {3}
Yeye ndiye aliyeziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha akastawi juu ya Arshi. Anayajua yanayoingia katika ardhi, na yanayoteremka kutoka mbinguni, na yanayopanda humo. Naye yuko pamoja nanyi popote mlipo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona mnayoyatenda.هُوَ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَىٰ عَلَى الْعَرْشِ ۚ يَعْلَمُ مَا يَلِجُ فِي الْأَرْضِ وَمَا يَخْرُجُ مِنْهَا وَمَا يَنْزِلُ مِنَ السَّمَاءِ وَمَا يَعْرُجُ فِيهَا ۖ وَهُوَ مَعَكُمْ أَيْنَ مَا كُنْتُمْ ۚ وَاللَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ بَصِيرٌ {4}
Ufalme wa mbingu na ardhi ni wake. Na mambo yote yanarejeshwa kwa Mwenyezi Mungu.لَهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۚ وَإِلَى اللَّهِ تُرْجَعُ الْأُمُورُ {5}
Huuingiza usiku katika mchana, na huuingiza mchana katika usiku. Na Yeye ni Mwenye kuyajua yaliomo vifuani.يُولِجُ اللَّيْلَ فِي النَّهَارِ وَيُولِجُ النَّهَارَ فِي اللَّيْلِ ۚ وَهُوَ عَلِيمٌ بِذَاتِ الصُّدُورِ {6}
Muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake; na toeni katika alivyowafanyia nyinyi kuwa ni waangalizi wake. Basi walioamini miongoni mwenu, na wakatoa, wana malipo makubwa.آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَأَنْفِقُوا مِمَّا جَعَلَكُمْ مُسْتَخْلَفِينَ فِيهِ ۖ فَالَّذِينَ آمَنُوا مِنْكُمْ وَأَنْفَقُوا لَهُمْ أَجْرٌ كَبِيرٌ {7}
Basi J unajua kuna namna mbili kama sio tatu za kupokea taarifa mpya ambayo imekinzana na lie ulokuwa nayoHere is what the Bible's theologians and historians said about this gospel:
Achana na copy paste Jenga hoja zako mwenyewe, uliyo weka yapo google kama ulivyo ya paste hapa
Basi J unajua kuna namna mbili kama sio tatu za kupokea taarifa mpya ambayo imekinzana na lie ulokuwa nayo
A. Kuikataa taarifa mpya na kubaki na ya zamani tu
B. Kuikataa taarifa ya zamani na kubaki na taarifa mpya tu
C. Kuzilinganisha hizo taarifa mbili, kulinganisha na uhalisia [hata kama itatikisa na kubadili uhalisia ulokuwepo kichwani kwangu] kisha kuchukua yale yanayoendana na uhalisia kutoka pande mbili A/B.
Basi mimi nimejaribu kutumia hiyo ya tatu na ndio nikaielewa hivyo maana nafahamu Quran ina maneno ya Mungu na Biblia pia ina maneno ya Mungu. Ndo kushare na nyie kama mtareconcile sawa, na kama mtachagua A au B huwa kuna sababu maelfu za kuchagua kwa hiyo we endelea tu wala usiwaze.
Nimetoka na kitu kinasema nisipende kutumia Yesu ni Mungu, kuna watu ntawaconfyuse, bora niseme Yesu ni Mmoja na Mungu[Japo bado wapo wanaokonfyuzika still] au Mwana wa Mungu
Bado unaleta utata Allah anamtaja mwenyezi Mungu huyu anajitenganisha naye wazi kabisaHivyo ni unavyotaka wewe ,
Anza tokea Aya ya mwanzo inamzungumza nani ??? nakuwekea
Sura Ya Hamsini Na Saba: Al-Hadid
Imeshuka Madina. Ina Aya 29.
Kwa jina Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu.
Vinamsabihi Mwenyezi Mungu vilivyo katika mbingu na ardhi. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
Yeye ndiye Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Anahuisha na anafisha. Na Yeye ni Mwenye uweza wa kila kitu.
Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhahiri na wa Batini, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu.
Yeye ndiye aliyeziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha akastawi juu ya Arshi. Anayajua yanayoingia katika ardhi, na yanayoteremka kutoka mbinguni, na yanayopanda humo. Naye yuko pamoja nanyi popote mlipo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona mnayoyatenda.
Ufalme wa mbingu na ardhi ni wake. Na mambo yote yanarejeshwa kwa Mwenyezi Mungu.
Huuingiza usiku katika mchana, na huuingiza mchana katika usiku. Na Yeye ni Mwenye kuyajua yaliomo vifuani.
Muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake; na toeni katika alivyowafanyia nyinyi kuwa ni waangalizi wake. Basi walioamini miongoni mwenu, na wakatoa, wana malipo makubwa.