Naomba ushauri kuhusu dini

Elimu ninayoisema siyo hiyo ya unayoijuia wewe ambayo ukifa unakufa nayo.Elimu ninayoisema mimi ni ile ambayo ukifa unafufuliwa nayo
Aliyewahi kufa akafufuka ni nani ukimwondoa yesu, historia inaonesha kuwa kabla ya yesu waliokufa na kufufuka walikuwa wengi ila YESU ndiye alitokea kuwa maarufu zaidi, baada ya hapo hakuna aliyewahi kufa na kufufuka labda misukule
 
Naona ushaishiwa cha kuandika. Sasa nitakuuliza ni mungu gani anaye rejelewa hapo ? Unafikiri hiyo ni Biblia ambayo ni zao la mwanadamu ?

Yaani Qur'aan ni maneno ya Allah, anaye yatamka ni Mtume, ndiyo inakuwa katika sura ya namna hiyo.
Alie andika Koran alikuwa anasahau ku switch kutoka first person kwenda third person Biblia Haina ujinga kama huo

Unaona utafauti Allah anasema Mungu ndie kweli anajisahau yeye ndio anatakiwa kuwa Mungu, biblia unaona wazi Yesu anasema Mimi ni kweli na uhai, kama Allah alikuwa anaongea na muhammad anabadili hilo ni tatizo lingine kubwa

Alah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....

Yesu anatoa jibu John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
 
Hovyo kabisa, yani nyie makobazi mnachojua ni vitishotu huwezi kumuelekeza mtu vizuri kwa logic,kitu kidogotu utaskia Kaburi,kiyama,mwanandani, mara sanda hahahaaa hovyo kabisa.
 
Hovyo kabisa, yani nyie makobazi mnachojua ni vitishotu huwezi kumuelekeza mtu vizuri kwa logic,kitu kidogotu utaskia Kaburi,kiyama,mwanandani, mara sanda hahahaaa hovyo kabisa.
Huku kwetu hakuna cha kusifiana,sijui maji ya upako,huwa tunaambizana ukweli
 
Ndiyo
 

Suali ; hivi Kuna mahali katika biblia au kitabu chochote Yesu alisema kuweni wakristo ?? au alisema dini ya haki Na ukweli ni ukristo tena madhehebu ya Roma?
 
Upo sahihi kabisa ndugu na tena Mungu anataka umjue kupitia Yesu Kristo, endelea kuwa mkristo tena shika imani yako vizuri kabisa nawe utakuwa na amani tele na kuupata ufalme wa mbinguni mwishowe. Ubarikiwe!

Unapata kitabu gani maneno hayo ? Lete ushahidi tafadhali
 
Huku kwetu hakuna cha kusifiana,sijui maji ya upako,huwa tunaambizana ukweli
Hakuna reality yoyote ya maana, kitu chamaana nikumueleza mtu ukweli na ukweli sio kutaja taja makaburi sanda,sijui mwanandani, ilikutishana bila sababu, kwanini tufundishane imani kwa vitisho badala ya kufundisha fact kwamba, MUNGU ATATUSAMEHE MAKOSA YETU KAMA NASISI TUTAWASAMEHE WALIO TUKOSEA.
ama,MPENDE JIRANIYAKO KAMA UNAVYO JIPENDA WEWE.

Acheni ujanja ujanja.
 

Ni wapi Mungu alituambia dini ambayo tuifuate Na anayoikubali ni ukristo?
 
Uisilamu siyo kutishani,na kuna hadisi nyingi zinasema hivyo,lakini inatofautiana mnazungumzia nini?mfano kuna mtu mmoja wa kibila la bedui tumuite kama mshamba hana ustarabu,alienda akakojoa ndani ya msikitini,Maswahaba wakataka kumpiga, Mtume Muhamad(S.A.W)akawakataza,kwanza aliwaamulu wamuache mpaka amalize kukojo,pili akawaamuru wapasafishe kwa kumwagia maji,na baadaye kutokana na ukarimu wa Mtume,yule jamaa akaslimu na kuwa Muisilamu.Sasa huwezi kuuchezea Uisilamu kama huyo mleta maada halafu watu wakakujibu kwa hadithi za kukupapasa
 
Q
 

Attachments

  • VID-20220520-WA0032.mp4
    5.2 MB
Soma maandiko yenu yanapingana na unacho kiandika. Kingine inaonyesha ya kuwa nyinyi mnajua zaidi kuliko Yesu mwenyewe mpaka mnamuita Mungu. Hakuna sehemu ambayo Yesu amesema yeye ni Mungu zaidi ya nyinyi kuleta maoni yenu binafsi na maoni yenu dhaifu sana, na hamgusi jambo husika.

Hakuna andiko hata moja ambalo mnalihusisha na uungu wa Yesu bila yeye kurejea kwa muwezeshaji ambaye andiko lenu humtaja kama ni Baba.
 
Kwa nini Allah kuna mda anasahau kumwambia muhammad sema , huku kuongea kwa allah na kutaja mungu mwingine ni muujiza
Wapi hapo amesahau ? Tuonyeshe tuone.
Allah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
Yesu anatoa jibu John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
Kijana naona kama kawaida yaki unajitekenya na kucheka mwenyewe, si ungemalizia tu hiyo aya uone imesemaje na inayofata kadhalika. Hili nalifanya mimi sasa.

Anasema Allah mtukufu :

62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli, na kwamba wale wanao waomba badala yake, ni baat'ili, na hakika Mwenyezi Mungu ndiye Aliye Juu na ndiye Mkubwa.


63. Je! Huoni kwamba Mwenyezi Mungu huteremsha maji kutoka mbinguni, na mara ardhi inakuwa chanikiwiti? Hakika Mwenyezi Mungu ni Mpole na Mwenye kujua. (al-Haajj : 62-63)

Maana yake anaye abudiwa kinyume na Allah huyi ni batili.

Tuwekee andiko hilo kutokea mstari wa kwaza kisha mpaka wa nane. Yesu ametumwa na nani. Uzuri hakuna andiko ambalo mnamnasibisha Yesu na uungu ambalo haliwaumbui, yaani lazima Yesu arudishe jambo kwa Allah aliye juu.
 
Tunaendelea na nondo hilo la mwanga tumeshamaliza na Allah alishakujibu sasa kama hujapenda maelezo ya Allah sijui nikusaidieje
Hili la mwanga halijaisha, sababu bujajibu swali langu huo mwanga wa Yesu ni wa kimaana au maada ? Hili huwezi kulijibu achilia mbali tu kusema umelimaliza.

Yohana akamsemea Yesu mwisho kabisa kwamba :

16 . “Mimi, Yesu, nimemtuma malaika wangu awathibitishieni mambo haya katika makanisa. Mimi ni mzawa wa ukoo wa Daudi. Mimi ni nyota angavu ya asubuhi!”

Yaani Yesu ni mzawa wa ukoo wa Daudi halafu hapo hapo anasema amemtuma Malaika. Ukiangalia hili andiko kwa namna ya maandiko yanayotoka kwa Allah, tunasema kabisa haya maneno ya uongo achilia mbali tu ndani kumetajwa yeye ni wa uzao wa Daudi.

Swali, linakuja maneno hayo Yesu aliyasema akiwa wapi na huyo Malaika ni nani. Je wakati huo anaongea hayo Malaika alikuwa tayari ameshatumwa na makanisa yalikuwepo ?
 
Kwa uzi huu wake wa "Tips za kuwa superstar bongo" ugoro uliopo ndani unaonyesha jinsi gani mleta mada ni mtu wa hovyo na anapenda zaidi mambo ya kikafiri kama alivyojielezea humo eti "anataka kupata mabwana"
Empress_sheila
#PatheticKafir
 
Sasa hilo liko wazi. Mola ametuumba kwa mfano wake.

Sasa Biblia si imeshatuambia ni katika uzao wa Daudi, hii imeonyesha wazi kuwa Yesu si Mungu, sababu Mola hajaa wala hajazaliwa wala hafanani na chochote. Kitendo cha kuzaliwa tu kinaonyesha Yesu si Mungu.

Hata wewe ni Roho kadhalika na Roho haifi kijana, ndiyo maana kuna maisha ya kaburini na kuna ufufuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…